Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.
Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe kwani wanafahamu fika kuwa anataka kuwatumia kupata uungwaji mkono kwa wananchi.
Sisi wananchi hatudanganyiki kwani tunafahamu vizuri timu Magufuli kuwa ni majambazi, wauwaji na pia mafisadi kwa mgongo wa kutupamba kutuita wanyonge! Sisi siyo wanyonge bali tunanyongeshwa, tunatekwa, tunauawa ili kutuziba midomo.
Sasa Rais Samia amebaki akibadilisha timu yake kila kukicha kitu kinachowavunja moyo wale wachache ambao wangeweza kumsaidia.
HATUDANGANYIKI!