Utawala wa Samia umekata pumzi

Utawala wa Samia umekata pumzi

Hu

Hakuna kitu kigumu kama kupata watu wa kuwaamini na kuwatumainia katika nchi ya watu wasio na msimamo na wanafiki kama Tanzania.

Magufuli aliwapata baadhi kwakuwa aliwatoa huko mbali na akawaingiza kwenye chama(ulaji) yeye mwenyewe. Lakini pia aliwapata kwakuwa alikuwa haongei mara mbili, hakucheka na kima.
Huyu wasasa anashndwaje kutengeneza wakwake?
 
Mara kwa mara kuteua, kutengua, kuhamisha, kuteua tena, kutengua muda mfupi mara baada ya kuteua, kutengua na kumpachika mtenguliwa hadhi ya ubalozi bila ya kituo cha kazi, n.k. ni kiashiria kikubwa kinachothibitisha kuwa kuna shida na pia kukosa umakini katika mamlaka za uteuzi.

Inawezekana teuzi hutegemea kundi dogo lenye ushawishi ndani chama. Wateuliwa hupendekezwa kutokana haja ya kulinda maslahi ya watawala na kundi hilo. Hakuna anayejali kuhusu vigezo, bali ukaribu na waridi humfanya muhusika naye kunukia kaarufu ka uwaridi.
 
Yupo tayari kuwaacha watoto, marafiki na wapambe wa makada wakongwe ndani ya chama? Mimi sijui siasa lakini naamini sio kila mtu anayekushauri anakutakia mema. Wengine wana mipango yao ambayo ni kinyume na mafanikio yako!
 
Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.

Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe kwani wanafahamu fika kuwa anataka kuwatumia kupata uungwaji mkono kwa wananchi.

Sisi wananchi hatudanganyiki kwani tunafahamu vizuri timu Magufuli kuwa ni majambazi, wauwaji na pia mafisadi kwa mgongo wa kutupamba kutuita wanyonge! Sisi siyo wanyonge bali tunanyongeshwa, tunatekwa, tunauawa ili kutuziba midomo.

Sasa Rais Samia amebaki akibadilisha timu yake kila kukicha kitu kinachowavunja moyo wale wachache ambao wangeweza kumsaidia.

HATUDANGANYIKI!
Utawala pekee ulipongezwa na Watanzania wengi , Afrika na Dunia Kwa ujumla hapa Tanzania ni Hayati JPM.

Kama huna elimu ya kuunga unga, basi una Elimu ya makaratasi ila Kichwani HUNA AKILI YA KUKUPA UWEZO KUTATUA MAMBO.

Kama ni mfanyabiashara ni wale wakwepa Kodi na wafanya magendo na biashara haramu.

Kama ni mtumishi wee ni fisadi, tuishi Moja hivi vivu zembe zembe lisilo na werevu Wala ubunifu ila linapenda Hela .

Kama wee ni Raia wa kawaida, basi ulizoea Kunyonya, vya kuchinja huwezi.

Kama ni Mwanasiasa, wee ni wa Vyama vya UPINZANI ,Hawa wakati wa JPM ilikula kwao, vile vitisho vya maandamano na kuitwa ikulu Mara Kwa mara ,kama ilivyokua Kwa Jamaa wa Msoga,..Ngosha alisema NO..na Kweli ikawa NO.
 
Ni majini peke yake yanayoweza kuunga mkono utawala wa shetani Magufuli! Mtu asiye na huruma na binadamu, mtekaji, jambazi na muuaji!

Tunashukuru waliomkata moto mapema kwa kuwa alikuwa janga!
 
Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.

Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe kwani wanafahamu fika kuwa anataka kuwatumia kupata uungwaji mkono kwa wananchi.

Sisi wananchi hatudanganyiki kwani tunafahamu vizuri timu Magufuli kuwa ni majambazi, wauwaji na pia mafisadi kwa mgongo wa kutupamba kutuita wanyonge! Sisi siyo wanyonge bali tunanyongeshwa, tunatekwa, tunauawa ili kutuziba midomo.

Sasa Rais Samia amebaki akibadilisha timu yake kila kukicha kitu kinachowavunja moyo wale wachache ambao wangeweza kumsaidia.

HATUDANGANYIKI!
Sahihi
 
Mara kwa mara kuteua, kutengua, kuhamisha, kuteua tena, kutengua muda mfupi mara baada ya kuteua, kutengua na kumpachika mtenguliwa hadhi ya ubalozi bila ya kituo cha kazi, n.k. ni kiashiria kikubwa kinachothibitisha kuwa kuna shida na pia kukosa umakini katika mamlaka za uteuzi.

Inawezekana teuzi hutegemea kundi dogo lenye ushawishi ndani chama. Wateuliwa hupendekezwa kutokana haja ya kulinda maslahi ya watawala na kundi hilo. Hakuna anayejali kuhusu vigezo, bali ukaribu na waridi humfanya muhusika naye kunukia kaarufu ka uwaridi.
Siku JK na kikundi chake cha wahuni akidondoka na CCM ikafa ndiyo nchi hii itaendelea!
 
Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.

Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe kwani wanafahamu fika kuwa anataka kuwatumia kupata uungwaji mkono kwa wananchi.

Sisi wananchi hatudanganyiki kwani tunafahamu vizuri timu Magufuli kuwa ni majambazi, wauwaji na pia mafisadi kwa mgongo wa kutupamba kutuita wanyonge! Sisi siyo wanyonge bali tunanyongeshwa, tunatekwa, tunauawa ili kutuziba midomo.

Sasa Rais Samia amebaki akibadilisha timu yake kila kukicha kitu kinachowavunja moyo wale wachache ambao wangeweza kumsaidia.

HATUDANGANYIKI!
Eti unauwawa... Umewezaje kuandika wewe pimbi?
 
Tangu anaingia madarakani tulishaona hapa hamna kitu uwezo hakuna. Uwezo wa kuwa Rais sio sawa na makalio kila mtu anayo! Ohoo
 
Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.

Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe kwani wanafahamu fika kuwa anataka kuwatumia kupata uungwaji mkono kwa wananchi.

Sisi wananchi hatudanganyiki kwani tunafahamu vizuri timu Magufuli kuwa ni majambazi, wauwaji na pia mafisadi kwa mgongo wa kutupamba kutuita wanyonge! Sisi siyo wanyonge bali tunanyongeshwa, tunatekwa, tunauawa ili kutuziba midomo.

Sasa Rais Samia amebaki akibadilisha timu yake kila kukicha kitu kinachowavunja moyo wale wachache ambao wangeweza kumsaidia.

HATUDANGANYIKI!
Kijana una andika huu ujinga kutokea wapi mkuu
 
Back
Top Bottom