Utawala wa Samia umekata pumzi

Utawala wa Samia umekata pumzi

Unapopata cheo alafu huna kampani na nyuzi za town nishida! Hujui nani atakusaidia nanani atazingua
 
Sema wewe kijana UNAJIPENDA SANA...... nasikia unafanya kazi TIGO..... ndo maana uko hivyo .....NI MFANYAKAZI wa TIGO....pia unajipenda sana
Usiniletee harufu mbaya! Mchana wote huu unainamishwa kisa chips, unadhalilisha wazazi wako!
 
Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.

Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe kwani wanafahamu fika kuwa anataka kuwatumia kupata uungwaji mkono kwa wananchi.

Sisi wananchi hatudanganyiki kwani tunafahamu vizuri timu Magufuli kuwa ni majambazi, wauwaji na pia mafisadi kwa mgongo wa kutupamba kutuita wanyonge! Sisi siyo wanyonge bali tunanyongeshwa, tunatekwa, tunauawa ili kutuziba midomo.

Sasa Rais Samia amebaki akibadilisha timu yake kila kukicha kitu kinachowavunja moyo wale wachache ambao wangeweza kumsaidia.

HATUDANGANYIKI!
Mama na ujasori wa kifisadi kuuza bandari , hii itamtafuna mpaka kanurini kama mkapa alivyouza nchi kwa ubinafsishaji
 
Team Magu all the way,Mama hapo nakubali,safi sana.
Na sitaki makasiriko opinion ni yangu mtu asinipangie,it's my right.
 
Mama anastrugle ili Dili lake la kuuza bandari libaki salama.
Vinginevyo akiondoka 2025 atapoteza Kila kitu
 
Werevu walishajua tangu anaapishwa. Ni watu wajinga na wasio na akili pekee ndiyo waliamini anafaa kuwa Rais. Hakuna kiongozi pale! Hana uwezo hata wa kuwa diwani! Ni katiba tu imembeba! Kuwa Rais sio mchezo! Kwa kifupi ni kichwa panzi
 
Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.

Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe kwani wanafahamu fika kuwa anataka kuwatumia kupata uungwaji mkono kwa wananchi.

Sisi wananchi hatudanganyiki kwani tunafahamu vizuri timu Magufuli kuwa ni majambazi, wauwaji na pia mafisadi kwa mgongo wa kutupamba kutuita wanyonge! Sisi siyo wanyonge bali tunanyongeshwa, tunatekwa, tunauawa ili kutuziba midomo.

Sasa Rais Samia amebaki akibadilisha timu yake kila kukicha kitu kinachowavunja moyo wale wachache ambao wangeweza kumsaidia.

HATUDANGANYIKI!
😂😂😂😂ewww
 
Kwenda zako fisadi wewe. Si nyie mlimsifu hasa pale alivyompiga vijembe jpm na kuwarudisha wote aliyowatumbua serikalini? Sasa kinamshinda nini. Eti anawarudisha timu ya magufuli ili kuungwa mkono na hapo hapo unasema walikua majambazi. Mwenyewe unakiri samia anawarudisha timu ya magufuli kuungwa mkono. Una maana kuungwa mkono na wananchi au fisadi? Bila shaka una maana kinacholengwa ni kura. Sasa timu magufuli kama ni wabaya watatoa wapi kura. Wewe bila shaka ni mtumbuliwa mpigaji cheti feki na kadhalika.
 
Hakuna kitu kigumu kama kupata watu wa kuwaamini na kuwatumainia katika nchi ya watu wasio na msimamo na wanafiki kama Tanzania.

Magufuli aliwapata baadhi kwakuwa aliwatoa huko mbali na akawaingiza kwenye chama(ulaji) yeye mwenyewe. Lakini pia aliwapata kwakuwa alikuwa haongei mara mbili, hakucheka na kima.
Alicheka na waliokuwa wanamfichia hela china tu. Kama akina Bashita na yule Biswalo
 
Kwenda zako fisadi wewe. Si nyie mlimsifu hasa pale alivyompiga vijembe jpm na kuwarudisha wote aliyowatumbua serikalini? Sasa kinamshinda nini. Eti anawarudisha timu ya magufuli ili kuungwa mkono na hapo hapo unasema walikua majambazi. Mwenyewe unakiri samia anawarudisha timu ya magufuli kuungwa mkono. Una maana kuungwa mkono na wananchi au fisadi? Bila shaka una maana kinacholengwa ni kura. Sasa timu magufuli kama ni wabaya watatoa wapi kura. Wewe bila shaka ni mtumbuliwa mpigaji cheti feki na kadhalika.
Usilete makasiriko shetani Magufuli ndiyo walishampelekea moto kuzimu na kuna wajinga kama wewe wanadhani bado ana ushawishi!
 
Kwenda zako fisadi wewe. Si nyie mlimsifu hasa pale alivyompiga vijembe jpm na kuwarudisha wote aliyowatumbua serikalini? Sasa kinamshinda nini. Eti anawarudisha timu ya magufuli ili kuungwa mkono na hapo hapo unasema walikua majambazi. Mwenyewe unakiri samia anawarudisha timu ya magufuli kuungwa mkono. Una maana kuungwa mkono na wananchi au fisadi? Bila shaka una maana kinacholengwa ni kura. Sasa timu magufuli kama ni wabaya watatoa wapi kura. Wewe bila shaka ni mtumbuliwa mpigaji cheti feki na kadhalika.
Huyu anae mponda magufuli sio mzima mkuu n WAKALA WA TIGO PESA.....ANATOA SANA
 
Back
Top Bottom