Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwa wale mliofanikiwa kuongea na wazee wa Ki-zanzibar walioishi chini ya Utawala wa Sultan wanauzungumziaje huo utawala?
Nikiitazama Oman nahisi inawezekana tumelishwa matangopori sana kuhusu utawala wa Waarabu wa Oman wa Kisultani huko Zanzibar kwa sababu hata maendeleo chini ya Sultan Zanzibar yalikuwa makubwa sana wakati anapinduliwa.