Utawala wa Trump wafuta misaada yote ya silaha kwa Ukraine na uchunguzi unafuata

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Marekani imeondoa maombi yote ya usafirishaji wa bidhaa kupitia Rzeszow, Constanta, na Varna kwa ajili ya Ukraine.

Usafirishaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kwenda Ukraine kupitia kambi za NATO barani Ulaya umesitishwa.

Kwa makadirio ya awali, hili linahusisha maelfu ya tani za silaha na vifaa vya kijeshi.

Wafanyakazi wote wa Pentagon waliokuwa wakihusika na usambazaji wa silaha kwenda Kyiv wamefutwa kazi au kusimamishwa.

Ukaguzi mkubwa wa matumizi mabaya ya fedha za msaada kwa Ukraine umeanza.

===============================================

The United States has withdrawn all applications for the transit of goods in the interests of Ukraine through Rzeszow, Constanta and Varna.

All shipments of weapons and military equipment to Ukraine have been stopped at NATO bases in Europe.

According to preliminary estimates alone, we are talking about several thousand tons of weapons and military equipment.

All Pentagon employees involved in arms supplies to Kyiv have been fired or suspended.

A large-scale audit of the misuse of funds for aid to Ukraine begins.

IMG_20250122_132425.jpg
IMG_20250122_132444.jpg
 
Serikali ya Donald Trump imeanza kazi kwa kufuta misaada yote ya silaha kwenda kwa Wanamgambo wa Ukraine na Uchunguzi unafuata ili kuwatia mbaroni Majangili yaliyo jichimbia Pentagon kufanya uhalifu na kufadhili magaidi hayo..

BREAKING The US has massively halted arms shipments to Ukraine

Hakutakuwa na Vita Kuu ya tatu ya dunia
 
Kifuatacho ITV ni kulipa madeni sasa
Naam,mambo mengine huwa ya ovyo,utasikia kiongozi kama huyo selensk anashukuru kwa msaada wa silaha fulani toka kwa USA,kumbe ni mkopo,hivi huu uongo huwa ni wa nini?,hata baadhi ya nchi za kiafrika ni hivyo hivyo,na madeni mengi hayaripiki,mwisho wa siku ki nchi cha watu kinakuwa kitumwa cha madeni,hii inahatarisha kabisa Uhuru wa nchi husika.
 
Serikali ya Donald Trump imeanza kazi kwa kufuta misaada yote ya silaha kwenda kwa Wanamgambo wa Ukraine na Uchunguzi unafuata ili kuwatia mbaroni Majangili yaliyo jichimbia Pentagon kufanya uhalifu na kufadhili magaidi hayo..

BREAKING The US has massively halted arms shipments to Ukraine

The United States has withdrawn all applications for the transit of goods in the interests of Ukraine through Rzeszow, Constanta and Varna.

All shipments of weapons and military equipment to Ukraine have been stopped at NATO bases in Europe.

According to preliminary estimates alone, we are talking about several thousand tons of weapons and military equipment.

All Pentagon employees involved in arms supplies to Kyiv have been fired or suspended.

A large-scale audit of the misuse of funds for aid to Ukraine begins.
Trump yupo vizuri sana kiuongozi ,safi sana.
 
Trump amesema Putin asipo kubali kumaliza mapigano na Ukraine atapigwa vikwazo, sasa wewe sema Trump ni pandikizi la Urusi
Unaweza kumpiga vikwazo mumeo?

Putin ni kama vile mume wa Trump.
Marekani sasa inaendeshwa kutoka Moscow.

Wewe hujiulizi mtu umeapishwa leo tu na kukimbilia kuzuia silaha zisiende Ukraine hadi zile zilizoko njiani tayari?

Haraka kiasi hicho ya nini? Tena unafukuzwa na kuwashtaki walioidhinisha silaha zikamsumbue Putin, Why?

Mume bwana Putin ameshaagiza, zuia hizo silaha haraka sana.
 
Acheni kujidanganya ile ni US sio Tanzania

C897B1BC-3084-4645-82CE-3FBCC373BFED.png
 
Acheni kujidanganya ile ni US sio Tanzania

View attachment 3210244
Hivi unaelewa maana ya kunegotiate?

Trump anataka Putin achukue baadhi ya mikoa ya Ukraine. Ndiyo kunegotiate. Mara zote amekuwa aking'ang'ana kuongea na Putin, hata akiwa anamuongelea utaona analegeza sauti, utasikia ''i know Vladmil''

Halafu uwe na akili kama mtu mzima, kwa hiyo wewe aliposema tu kusunction ukaona ni big deal sana?

Ulitaka atangaze hadharani kuwa lengo lake ni kuigawa Ukraine kwa Putin?

Sijui hata unaposema hiyo ni US siyo Tanzania unamaanisha nini!

Raisi ni raisi tu hata awe wa Tanzania, ana mamlaka makubwa.

Trump ni takataka, amejitoa WHO, atajitoa NATO, atajitoa WORLD BANK na mashirika mengine ya kimataifa, maana yake US haitakuwa na ushawishi tena, itacease kuwa superpower.

Yote hayo atafanya kwa faida ya mumewe Putin.
 
negotiations maana ya ni makubaliano ya pande zinazo kinzana Urusi na Ukraine sio Us ndio maana Putin kaambiwa akubaliane na Ukraine amalize vita akileta ubishi anapigwa vikwazo vipya, kuhusu WHO unajidanganya sana US ndio analipa pesa nyingi kwenye WHO hawezi kupoteza kodi za Wamarekani kwa mambo ya kipuuzi ndio maana Trump kajitoa, kuhusu Urusi hawezi kufika hata robo ya ushawishi wa US , bora hata Mchina ana jitahidi
 
Kulipa pesa nyingi ndio kuwa na ushawishi.

Labda hujui maana ya ushawishi?

Akijitoa kwny mashirika ya kimataifa kama WHO na NATO atakuwa na ushawishi wa kumshawishi nani?

Yaani umshawishi mtu afuate unachosema wakati huchangii fedha?

Ni kweli China inaweza kuwa na ushawishi kuizidi Urusi lakini lengo la Trump ni kuhakikisha Urusi inanufaika.

Angekuwa na nia ya Urusi na Ukraine kuelewana kwa nini akimbilie kuzuia silaha kwenda Ukraine, tena kwa hati ya dharula?

Kwani Ukraine akiwa na silaha za kujihami hawezi kujadiliana na Putin?

Kwani ni nani aliemvamia mwenzie?

Ndugu utanichosha tu, hata mtoto mdogo anajua kuwa lengo la Trump ni kuibana Ukraine ikose misaada na silaha za kujilinda, ili ikubaliane na atakachotaka Putin.
 
Back
Top Bottom