Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Inakuwaje Sasa Mbona Mahakama inaanza kumpinga Na kusitisha utekelezaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Zaire na Iran zinazohenyeshwa hawana JWTZ wao?Kwahio kuna mtu atakuja kutuhenyesha na JWTZ wakiwa wapo😄?
Watahenyeshwa JWTZ sio sisi😁Kwani Zaire na Iran zinazohenyeshwa hawana JWTZ wao?
Ukifika huko ndio unakuwa mwelewa wa mambo ya dunia? Au kufika tu ni sawa na kuhitimu chuo kikuu?Unaandika maneno haya na hujawai hata kufika U.S hujui hata Whitehouse Wala Jengo la Pentagon lilipo unaandika kisa limekuja wazo lako kichwani la kijinga hujawai fika hata Kremlin Wala hata Russia huijui
Amepiga kvant huyo.Umeanza vizuri nikadhani una akili
Yaani trump apokee maelekezo kutoka Moscow?
Hivi huwa mnapata wapi hizi comedies?
Jibu swali acha kuuliza swali!!Aah kwahiyo ulitoa hii habari isiyo na ukweli kama kisasi cha CNN na WP