joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sasa usalama maana yale si kusaidia endapo mmoja anaposhambuliwa au wanashirikiana hamna kusaidiana? Yale yale unakata Saidi kuitwa Side.Mkuu ebu fatilia jeshi la anga la Urusi na wana anga wa kawaida, usichanganye mambo aiseee, NATO iliundwa kwa ajili ya kumzuia Sovieti asijitanue Ulaya yote , NATO ipo kwa ajili ya usalama wa wanachama, BRICS ni kitu kingine kabisaa kwa ajili ya mambo tofauti na NATO
Jumuia zote ziwe zina lengo la kiusalama au kibiashara, malengo makuu kushirikiana na KUSAIDIANA.