Utawala wa Trump wafuta misaada yote ya silaha kwa Ukraine na uchunguzi unafuata

Endelea kuhifadhi propaganda hivi unajua nchi za EU kwa mwaka huu mpaka kufikia Jan 15 ,washanunua tani 830000 za gas ya Russia? Hivi nchi irudi nyuma,then iwe na uwezo wa kwenda kuwarudisha wanaanga wa US tena wa nchi adui,hivi unajua hizi project za anga zinacoast hela kubwa,maana hapo unaongelea billion USD dollars.

Endelea kuziamini propaganda za US,ila Russia yupo vizuri, pamoja na Ukraine kuzuia gesi ,humsikii kulalamika ila wanaolalamika Moldova,Hungary, Austria,Germany sababu ndio wanao umia yy Russia soko lake kahamishia China na India.
Mkuu hawa sio US ni wenyewe ulaya , hizi zote zilizo pungua ni pesa ambayo Urusi alikuwa anaitumia kwa maendeleo ya nchi, lakini sasa anacho kipato ni kupeleka vitani tu , Urusi huyu sio yule wa kabla ya vita

8F710512-AF40-40E1-AF53-FB5DED293B9C.png
 
Ufaransa uchumi wake umedrop sana,hamkaribii hata Russia na Russia anamfanyia makusudi kumwaribia kwenye makoloni yake huku Africa,sababu anajua uchumi wake unategemea wizi wa kuiba malighafi za Africa,ikiwemo Uranium kutoka Niger.Sasa pata picha nchi kama ile ya France ukiibana kwenye Uranium ya wizi ( ambayo ni source kubwa ya umeme wa uhakika) then huku kapigwa pini na Russia ,wewe unazani viwanda na gharama za nishati vitakuwa ktk hali gani.
Hata kama umedrop lakini sio wa kupitwa na hii Urusi ya sasa, France ana GDP kubwa kuliko Urusi, vita ina mpa wakati mgumu sana Putin, hii pesa yote ilikuwa ya maendeleo yeye anaichoma vitani
 
Mkuu hawa sio US ni wenyewe ulaya , hizi zote zilizo pungua ni pesa ambayo Urusi alikuwa anaitumia kwa maendeleo ya nchi, lakini sasa anacho kipato ni kupeleka vitani tu , Urusi huyu sio yule wa kabla ya vita

View attachment 3212400
Hivi unajua gharama ya project ndogo ya anga inacoast kiasi gani? Halafu ndio useme Russia ana njaa na tena kaenda kuwarudisha wanaanga ambao NASA na Musk wameshindwa, ushajiuliza why walishindwa ila Russia akaweza?

Yaani nchi iwe na uwezo wa kutumia hela zake kuwarudisha wanaanga ambao sio wa nchi yake,then ndio ashindwe kufanya maendeleo na ww unaamini kabisa?
 
Hivi unajua gharama ya project ndogo ya anga inacoast kiasi gani? Halafu ndio useme Russia ana njaa na tena kaenda kuwarudisha wanaanga ambao NASA na Musk wameshindwa, ushajiuliza why walishindwa ila Russia akaweza?
Hii sio hoja pamoja na uchumi kuyumba Bado Russia analeta wageni na kuwalipa pesa nyingi kupigana, sio kwamba uchumi kuyumba Russia atakuwa kama Tanzania, hata Korea Kaskazini uchumi mbovu lakini kila siku anatest nyuklia zake na makombora mengine ya pesa nyingi tu, Trump anajua uchumi wa Urusi hauko sawa,na hapa hapa ndio kwa kumaliza vita

FA45CBB5-0BDD-4F13-9BF2-EDB4886131D4.png
 
Nimekuuliza tu unajua gharama za projects za anga? Nimekuuliza tena unajua kwa nini Musk na NASA walishindwa ,ushajiuliza waliona nini? Ukipata muda Google budget ya NASA ya kila mwaka,then kuna picha utaipata gharama ya hizi project za anga.

Halafu ushajiuliza why miaka ya hivi karibuni North Korea,China na Iran upande wa tech hasa za kutengeneza silaha wanaimarika? Hapo ndipo ujue Russia hatoi hata senti,bali anacho fanya kubadilishana wanajeshi na tech aizokuwa nazo yy za kutengeneza silaha za kisasa na pili mpaka sasa,kuna silaha mpya za China ,North Korea na Iran zimefanyiwa majaribio kwenye ardhi ya Ukraine. So hapo unaweza kuta haijatoka hata senti,kwani hata wao wamenufaika kugundua capability ya silaha zao kwenye uwanja wa kivita na vilevile kupata tech mpya kutoka Russia za kutengeneza silaha,tatizo lako umekalili kila msaada unakuwa kwenye form ya hela.
Hii sio hoja pamoja na uchumi kuyumba Bado Russia analeta wageni na kuwalipa pesa nyingi kupigana, sio kwamba uchumi kuyumba Russia atakuwa kama Tanzania, hata Korea Kaskazini uchumi mbovu lakini kila siku anatest nyuklia zake na makombora mengine ya pesa nyingi tu, Trump anajua uchumi wa Urusi hauko sawa,na hapa hapa ndio kwa kumaliza vita

View attachment 3212422
Habari ya mda huu kutoka Times of India ,Urusi yupo kimya yy anagawa dozi, Kansela wa Ujerumani alizimiwa simu na Putin akaanza kulalamika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=kSkphdgfIgU
 
Nimekuuliza tu unajua gharama za projects za anga? Nimekuuliza tena unajua kwa nini Musk na NASA walishindwa ,ushajiuliza waliona nini? Ukipata muda Google budget ya NASA ya kila mwaka,then kuna picha utaipata gharama ya hizi project za anga.

Halafu ushajiuliza why miaka ya hivi karibuni North Korea,China na Iran upande wa tech hasa za kutengeneza silaha wanaimarika? Hapo ndipo ujue Russia hatoi hata senti,bali anacho fanya kubadilishana wanajeshi na tech aizokuwa nazo yy za kutengeneza silaha za kisasa na pili mpaka sasa,kuna silaha mpya za China ,North Korea na Iran zimefanyiwa majaribio kwenye ardhi ya Ukraine. So hapo unaweza kuta haijatoka hata senti,kwani hata wao wamenufaika kugundua capability ya silaha zao kwenye uwanja wa kivita na vilevile kupata tech mpya kutoka Russia za kutengeneza silaha,tatizo lako umekalili kila msaada unakuwa kwenye form ya hela.

Habari ya mda huu kutoka Times of India ,Urusi yupo kimya yy anagawa dozi, Kansela wa Ujerumani alizimiwa simu na Putin akaanza kulalamika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=kSkphdgfIgU

NASA na MUSK ni habari nyingine acha kabisa, suala kwenda au kutokwenda angani ni suala la priority ya taasisi au mtu, huwezi kuficha kuyumba kwa uchumi wa Urusi kwenye safari za anga hapo unakosea,

halafu kuhusu Zelenskyy kutaka mazungumzo na Putin hili ni jambo la Trump ndio kasema wakutane wazungumze sio suala la Putin, Trump kaweka adhabu kwa kila mmoja Urusi na Ukraine kwa atakae kwamisha mazungumzo ya kumaliza vita

Kuhusu korea kaskazini na Iran, Iran aliweka wazi toka mwanzo kuwa alimuuzia Urusi Drone labda haya makubaliano ya hivi karibuni yanaweza kuwa tofauti, Korea kaskazini huyu ndio ana njaa kali amepeleka mpaka watu wake wakafe vitani pamoja na kutoa silaha zake kisa kupewa teknolojia,
 
Sasa vikwazo tangu lini vimeifanya Russia ishindwe kusonga mbele !?
Lengo ni kufifisha uchumi ili iwe tabu kuendelea na vita, nafikiri tabu inaonekana mpaka askari wanaletwa kutoka Korea kaskazini , maana yake watu wa Urusi wanakufa na kuumia sana vitani
 
NASA na MUSK ni habari nyingine acha kabisa, suala kwenda au kutokwenda angani ni suala la priority ya taasisi au mtu, huwezi kuficha kuyumba kwa uchumi wa Urusi kwenye safari za anga hapo unakosea,

halafu kuhusu Zelenskyy kutaka mazungumzo na Putin hili ni jambo la Trump ndio kasema wakutane wazungumze sio suala la Putin, Trump kaweka adhabu kwa kila mmoja Urusi na Ukraine kwa atakae kwamisha mazungumzo ya kumaliza vita

Kuhusu korea kaskazini na Iran, Iran aliweka wazi toka mwanzo kuwa alimuuzia Urusi Drone labda haya makubaliano ya hivi karibuni yanaweza kuwa tofauti, Korea kaskazini huyu ndio ana njaa kali amepeleka mpaka watu wake wakafe vitani pamoja na kutoa silaha zake kisa kupewa teknolojia,
Unaleta ubishi wa husizani US ni kama dunia ya tatu amabayo haithamini raia wake,raia wa US hata kama akiwa mmoja mbele ya serikali yao ni anathamani, hivi hushajiuliza resource alizo tumia US kuwaokoa raia wake waliotekwa na pirate wa Somalia, mpaka Navy Seal komando kuingia mzigoni pamoja na Meli za kivita plus Chopa. Musk na NASA ni habari nyingine kweli ila walichemka,kuwarudisha wanaanga,hapo ndipo ujue kitech upande wa anga na uchumi Russia bado yupo vizuri. Huwezi kuendesha hizi project kama huna hela na uchumi wako ni wakuungaunga.

Ushamuona Putin akiweweseka? Kansela wa Germany mwenyewe kazimiwa simu? Mazungumza yatafanyika ila kwa terms atakazo Putin,husitegeeme US kumshuruisha Russia na hana uwezo uwe kwani kishampiga vikwazo million, ila ndio kwanza uchumi wake upo stable mpaka na hela yake na ndio maana bado anajeuri kuendeleza projects zake za anga.

Hizo habari ya kuwa North Korea nyie mnazipata wapi? Yaani kwa akili zako vyombo vya West vimsifie North Korea?Hiyo habari tu ya mwaka jana ya Russia kuwarudisha wanaanga wa US,haikuripotiwa na chombo chochote kikubwa cha magharibi.
 
Unaleta ubishi wa k husizani US ni kama dunia ya tatu amabayo haithamini raia wake,raia wa US hata kama akiwa mmoja mbele ya serikali yao ni anathamani, hivi hushajiuliza resource alizo tumia US kuwaokoa raia wake waliotekwa na pirate wa Somalia, mpaka Navy Seal komando kuingia mzigoni pamoja na Meli za kivita plus Chopa. Musk na NASA ni habari nyingine kweli ila walichemka,kuwarudisha wanaanga,hapo ndipo ujue kitech upande wa anga na uchumi Russia bado yupo vizuri. Huwezi kuendesha hizi project kama huna hela na uchumi wako ni wakuungaunga.

Ushamuona Putin akiweweseka? Kansela wa Germany mwenyewe kazimiwa simu? Mazungumza yatafanyika ila kwa terms atakazo Putin,husitegeeme US kumshuruisha Russia na hana uwezo uwe kwani kishampiga vikwazo million, ila ndio kwanza uchumi wake upo stable mpaka na hela yake na ndio maana bado anajeuri kuendeleza projects zake za anga.

Hizo habari ya kuwa North Korea nyie mnazipata wapi? Yaani kwa akili zako vyombo vya West vimsifie North Korea?Hiyo habari tu ya mwaka jana ya Russia kuwarudisha wanaanga wa US,haikuripotiwa na chombo chochote kikubwa cha magharibi.
Hakuna kitu Rusia anaweza mzidi US labda vichwa vya nyuklia na eneo kubwa la Urusi, vilivyobaki mnapamba kitu ambacho hakipo, sasa North korea ana nini anaishi kwa huruma ya mchina
 
Hakuna kitu US anaweza mzidi US labda vichwa vya nyuklia na eneo kubwa la Urusi, vilivyobaki mnapamba kitu ambacho hakipo, sasa North korea ana nini anaishi kwa huruma ya mchina
Kwanza Rusia hana time ya kuizidi US,Rusia yy anaconcentrate na uchumi na raia wake,US ndio ana wasiwasi wa kuzidiwa ndio maana anawawekea vikwazo wenzake ambavyo havina mana. Mara awapige mkwala BRICS kisa wanataka kuanzisha currency nyingine, yaani yupo juu ila ana wasiwasi.

Putin aliulizwa kwamba Brics wanampango wa kuindoa dollar kwenye, biashara zinazofanyika na wanachama wa BRICS alikataa,akasema wanatafuta means ya kuwa na currency nyingine ambayo itawapa uhuru wa kufanya biashara ila dollar still wataendelea kuitumia.
 
Hata Urusi angetaka hawezi kumzidi US yuko mbali sana, ana uchumi mkubwa ana jeshi namba moja duniani, pamoja na yote ni muhimu kuangalia wengine wanafanya nini kwasababu Urusi ilikuwa sehemu muhimu ya dola kubwa kabisa ya kisovieti, na baada ya Sovieti kuvunjika vitu vingi alibaki navyo Urusi, huwezi kumdharau
 
Sasa why anawasiwasi anawawekea vikwazo ambavyo havina maana? Maana mpaka Cuba kamwekea vikwazo vya kibiashara,mwaka jana UN walipiga kura kwa ajili ya kuiondolea vikwazo vya kikoloni vya nchi ya Cuba. Nchi zaidi ya mia tisini walikubali ila nchi kumi na mbili ikiwemo US walikataa,sasa Cuba kosa lake ni nini?

Hivi tujiulize Libya,Iraq makosa yao ni yapi? Obama na Blair wote walikubali walifanya makosa, japo mwanzo waliwawekea vikwazo kwa vitu ambavyo vya uongo.
 
Marekani imeondoa maombi yote ya usafirishaji wa bidhaa kupitia Rzeszow, Constanta, na Varna kwa ajili ya Ukraine.

Usafirishaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kwenda Ukraine kupitia kambi za NATO barani Ulaya umesitishwa.

Kwa makadirio ya awali, hili linahusisha maelfu ya tani za silaha na vifaa vya kijeshi.

Wafanyakazi wote wa Pentagon waliokuwa wakihusika na usambazaji wa silaha kwenda Kyiv wamefutwa kazi au kusimamishwa.

Ukaguzi mkubwa wa matumizi mabaya ya fedha za msaada kwa Ukraine umeanza.

===============================================

The United States has withdrawn all applications for the transit of goods in the interests of Ukraine through Rzeszow, Constanta and Varna.

All shipments of weapons and military equipment to Ukraine have been stopped at NATO bases in Europe.

According to preliminary estimates alone, we are talking about several thousand tons of weapons and military equipment.

All Pentagon employees involved in arms supplies to Kyiv have been fired or suspended.

A large-scale audit of the misuse of funds for aid to Ukraine begins.

Tulikubaliana kwamba huko Kwa wenye Katiba Mpya hakunaga mambo ya ufisadi, uchunguzi wa nini Sasa? 😂😂😂😂😂
 
Sasa why anawasiwasi anawawekea vikwazo ambavyo havina maana? Maana mpaka Cuba kamwekea vikwazo vya kibiashara,mwaka jana UN walipiga kura kwa ajili ya kuiondolea vikwazo vya kikoloni vya nchi ya Cuba. Nchi zaidi ya mia tisini walikubali ila nchi kumi na mbili ikiwemo US walikataa,sasa Cuba kosa lake ni nini?

Hivi tujiulize Libya,Iraq makosa yao ni yapi? Obama na Blair wote walikubali walifanya makosa, japo mwanzo waliwawekea vikwazo kwa vitu ambavyo vya uongo.
Trump anajua gharama za vita , anajua hata warusi wengi hawataki vita iendelee, ndio maana kampa Putin OFA bila masharti yeyote ila akileta kiburi tena basi safari hii itakula kwake
 
US hana cha kumfanya Russia, yy cha msingi amkoromea Zelenskyy atafute means ya kumalizana na Putin.
 
Back
Top Bottom