Urus kachukua mgodi wa Lithiumwa Ukraine juzi tani zaidi ya 500,000 anazishikilia yy na Ukraine nchi yenye Stoke kubwa ya Lithium kuliko zote EU. Ukraine wamesitisha mkataba juzi wa kuruhusu hesi ambayo inaenda kwa baadhi ya nchi za ulaya Moldova, Hungary, Austria,hizi nchi hali yao upande wa nishati ni mbaya na kila siku wanalalamika EU.
Ujerumani nao ambao walikuwa wanategemea gesi ya kutokea Urusi,baada ya kujitia jeuri nae viwanda vyake vina hali mbaya. Urusi mafuta na gesi wanunuaji wake wakubwa China na India,juzi hapo kuna bomba kutoka Urusi kwenda China,China ana mahaitaji makubwa ya gesi na inawezekana anaweza akachukua gesi kiwango kikubwa zaidi ya kile ulaya walichokuwa wakichukua.
Kumuangusha Mrusi sio swala dogo, mwaka jana mwezi wa kumi na moja wanaanga wa US chombo chao kilikwama angani, naona mpaka waki Musk na NASA walichemka kuwarudisha,ila wanaanga wa Urusi ndio walio enda kuwarudisha habari hii haikutangazwa na vyombo vya magharibi. Ilitangazwa na vyombo vya India,China na Urusi.Pamoja na kelele zote hizi za vikwazo,ila baadhi ya nchi ya EU zimekataa kuacha kununua gesi kwa Urusi.