Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Ndo nakwambia tumia mifano ya hizi nchi 2 Ujerumani na Mrusi nani kwa sasa kafunga viwanda vingi nchini kwake? Na nani anapitia wakati mgumu kwa sasa kiuchumi na kisiasa nchini kwake kati ya hizo nchi 2 maana Ujerumani ndo ilikua powerhouse ya Ulaya magharibi ila kapigika kuliko hata huyo mrusi hadi wakina volkswagen wanawaza kufunga viwandaUnapata eneo nchi ya ugenini kwa kuvuruga uchumi wako, eneo ambalo halikuingizia chochote zaidi ya majumba chakavu , unachukua magofu na machuma tu hapo hakuna kitu Urusi atanufaika kwasasa, wakati huo kavuruga uchumi