mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Mkuu unamaanisha nin kusema Ulaya nzima itakuwa at mercy ya mrusi?......
Trump ana mpango wa kujitoa NATO, unaelewa kuwa US kujitoa NATO ni kuikabidhi Ulaya nzima at mercy of Russia?
Nguvu pekee dhidi ya Russia ni NATO, US kujitoa na kuivunja NATO, Huoni kuwa ni kumfanya Russia superpower?
Pili, kwani Russia akiwa superpower kuna ubaya?
Nachojua ni kwamba Trump hataki kodi za wamarekani ziende kusiko na maslahi ya marekani.