TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Umeanza vizuri nikadhani una akiliHivi wewe unasoma ninachoandika?
Mbona nitakuwa ninarudia kitu kilekile tu!
US anatoa pesa nyingi WHO ndio. Ndiyo maana ya kuwa Superpower, kuwa na ushawishi.
Sasa utakuwa superpower vipi kama unachangia sawa na wenzio?
Kama mke anahudumia familia sawa na mume, hapo mume atakuwaje mkuu wa familia?
Umeelewa hapo nihame, au niendelee kufafanua?
Nahama, kama Trump ana nia njema na Ukraine kwa nini akimbilie kuzuia misaada kabla ya hizo peace talks?
Hivi kuna peace talks gani na mvamizi zaidi ya kumwambia atoe majeshi yake kwenye nchi ya watu?
Hivi unajua kwamba kulikuwa na ushahidi wa wazi wa Urusi kuingilia uchaguzi wa US na kumsaidia Trump kushinda ile awamu yake ya kwanza?
Unajua kuwa bunge la Marekani lilitaka kumu impeach Trump kwa kosa hilo?
Unaweza kumuwekea vikwazo mtu aliekuweka madarakani?, vikwazo gani Trump anaweza kumuwekea BFF wake Vladimil?
Trump ana mpango wa kujitoa NATO, unaelewa kuwa US kujitoa NATO ni kuikabidhi Ulaya nzima at mercy of Russia?
Nguvu pekee dhidi ya Russia ni NATO, US kujitoa na kuivunja NATO, Huoni kuwa ni kumfanya Russia superpower?
Trump anajua yote haya, na anafanya kwa maelekezo toka Moscow.
Trump hakuna raisi pale, rafiki yangu Yoda anapenda kusema Trump ni trojan horse ya Urusi, na yupo sahihi.
Yaani trump apokee maelekezo kutoka Moscow?
Hivi huwa mnapata wapi hizi comedies?