Utawala wa Trump wafuta misaada yote ya silaha kwa Ukraine na uchunguzi unafuata

Ndio Ukraine walikuwa na jeshi dhaifu kusaidiwa ni haki yao, ila Urusi ilikuwa jeshi namba 2 kwa ubora duniani hivi sasa anasubiri msaada wa Iran na Korea kaskazini, dunia iko kasi
Vita ni strategy na muda wote huo mrusi alikua anatumia ma skrepa ya ww2 mmemsaidia kutumia stock zake za zamani.........kwa sasa anapiga biashara tu ameshakusanya pesa ya kutosha kutoka kwenye mafuta aliyokua anauza kwa muhindi.......Korea anahitaji teknolojia mrusi anayo.....anapewa teknolojia anatoa jeshi na baadae hiohio teknolojia anaenda kuwajambisha japan na south korea vipenzi wa marekani
 
Kursk imemegwa mbona hili liko wazi, wewe shambulia lakini watu wamemega eneo ndani ya Urusi na hakuna kitu superpower Urusi atafanya
Leta ushahidi.....kuna kumega na kuna kuvamia hata Idi Amin aliivamia Kagera ila hakumega nchi.....mrusi kamega eneo Ukraine na ana control hadi raia walipiga kura.....
 
Vita ni strategy na muda wote huo mrusi alikua anatumia ma skrepa ya ww2 mmemsaidia kutumia stock zake za zamani.........kwa sasa anapiga biashara tu ameshakusanya pesa ya kutosha kutoka kwenye mafuta aliyokua anauza kwa muhindi.......Korea anahitaji teknolojia mrusi anayo.....anapewa teknolojia anatoa jeshi na baadae hiohio teknolojia anaenda kuwajambisha japan na south korea vipenzi wa marekani
Mrusi kaishiwa acha kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, ndio maana anakimbilia kwa Iran na Korea kaskazini,, katumia kila aina ya silaha Ukraine Bado nyuklia tu
 
Leta ushahidi.....kuna kumega na kuna kuvamia hata Idi Amin aliivamia Kagera ila hakumega nchi.....mrusi kamega eneo Ukraine na ana control hadi raia walipiga kura.....
Hata kule Kursk Ukraine kamega eneo au hujui kuwa Urusi alikimbiza raia wake 200,000 baada ya kuona maeneo yana megwa kwasasa Ukraine ana miliki 800sq m pale kursk , Putin kaleta mpaka wakorea wanachezea vizuri tu

F302F2EE-8C15-43F5-86A1-B4624ADE4A96.png
 
Mrusi kaishiwa acha kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, ndio maana anakimbilia kwa Iran na Korea kaskazini,, katumia kila aina ya silaha Ukraine Bado nyuklia tu
Na wananchi wa Ukraine walipiga kura kama warusi kwenye ardhi ya bwana Zelensky hapo vipi kamegwa hajamegwA?
 
Hata kule Kursk Ukraine kamega eneo au hujui kuwa Urusi alikimbiza raia wake 200,000 baada ya kuona maeneo yana megwa kwasasa Ukraine ana miliki 800sq m pale kursk , Putin kaleta mpaka wakorea wanachezea vizuri tu

View attachment 3212309
Screenshot_20250124-113327_Chrome.jpg

Piga hesabu hapo hehe na hizo zilizobakia mnaachiwa ili mpeleke resources zenu huko huku pande nyingine mrusi akiendelea kusogea mbele akimega ....huko wamemega halafu wanarudishwa nyuma....upande wa pili wamemega na bado wanaendelea kumega
 
Sasa ulitaka wafanyaje na mkoloni yupo pale ? zile sio kura ni mazingaombe kama za ccm tu
Hio ndo kumegwa sasa sio uvamizi.....unamega eneo halina raia🤣🤣🤣 unamega eneo kila siku unatema kibungo unaachia ardhi..mbona mrusi tokea aanze kumega hakuna eneo alilorudisha zaidi ya kuendelea kumega zaidi
 
View attachment 3212310
Piga hesabu hapo hehe na hizo zilizobakia mnaachiwa ili mpeleke resources zenu huko huku pande nyingine mrusi akiendelea kusogea mbele akimega ....huko wamemega halafu wanarudishwa nyuma....upande wa pili wamemega na bado wanaendelea kumega
umeona sasa maana yake unakubali kuwa ndani ya Urusi kuna jeshi la Ukraine limeweka kambi, mambo ya kusema sijui mmeachiwa hizo ni story za kujifurahisha, umekwenda mpaka kuazima askari korea kaskazini na bado umeshindwa kukomboa Kursk yote , hii ni aibu kwa Urusi sasa kwenye mazungumzo hili eneo ni karata kwa Ukraine vile vile
 
Hio ndo kumegwa sasa sio uvamizi.....unamega eneo halina raia🤣🤣🤣 unamega eneo kila siku unatema kibungo unaachia ardhi..mbona mrusi tokea aanze kumega hakuna eneo alilorudisha zaidi ya kuendelea kumega zaidi
Raia wameondoka sio halina raia , Urusi kawatoa raia , tafsiri yake ni kwamba hao warusi wanaishi uhamishoni ndani ya nchi yao, sio kwamba Urusi anapenda Ukraine achukue eneo lile la Kursk ukweli ni kwamba kazidiwa mbinu pale
 
Hii ndo maana halisi ya kumega....unaijua 20% ya nchi wewe na una raia kama milioni 3 chini yako,,huu ndo umwamba sasa ,,,sio na Nato nzima mnapiga kelele kwa ajili ya kichaka ambacho hakina watu na kila wakati mnakipoteza badala ya kuongeza
Screenshot_20250124-115512_Chrome.jpg
 
Hii ndo maana halisi ya kumega....unaijua 20% ya nchi wewe na una raia kama milioni 3 chini yako,,huu ndo umwamba sasa ,,,sio na Nato nzima mnapiga kelele kwa ajili ya kichaka ambacho hakina watu na kila wakati mnakipoteza badala ya kuongezaView attachment 3212325
Hiyo haijishi muhimu ni kwamba Zelensky ana bargaining chip kwenye mazungumzo na hakuna kitu Putin atafanya

4C8C512A-24D2-491B-A120-9D3C31D768BD.png
 
umeona sasa maana yake unakubali kuwa ndani ya Urusi kuna jeshi la Ukraine limeweka kambi, mambo ya kusema sijui mmeachiwa hizo ni story za kujifurahisha, umekwenda mpaka kuazima askari korea kaskazini na bado umeshindwa kukomboa Kursk yote , hii ni aibu kwa Urusi sasa kwenye mazungumzo hili eneo ni karata kwa Ukraine vile vile
Strategy bwana mdogo nikiwatoa hapo si mtakuja kunisumbua kwengine napomega bora akili zenu zikomae hapo huku mimi nikiendelea kumega kwengine

Linganisha hako kakichaka na lipande la nchi lililomegwa
Screenshot_20250124-115801_Chrome.jpg
 
Strategy bwana mdogo nikiwatoa hapo si mtakuja kunisumbua kwengine napomega bora akili zenu zikomae hapo huku mimi nikiendelea kumega kwengine

Linganisha hako kakichaka na lipande la nchi lililomegwa
View attachment 3212331
Hayo maneno hayana maana umekwenda kuomba wanajeshi 12000 ili kumtoa Ukraine Kursk umeshindwa unaanza visingizio, Pale Kursk wakaazi laki na nusu wameondolewa kwasababu ya Ukraine

ABCD6E7B-F7F4-43FC-B1D3-5117177CBC28.jpeg
 
Kwa kweli bargain unachukua 0.0000000001 percent ya urusi huku yeye ukimpa 20 percent.......Mrusi ashikilie hapohapo
Nakukumbusha hata Israel anakomboa mateka 128 kwa kutoa wafungwa 1000 , hata Urusi atatoa vitu vingi kwa lile eneo la Kursk kwasababu ni aibu kwake superpower kumegewa eneo ni aibu sana
 
Hayo maneno hayana maana umekwenda kuomba wanajeshi 12000 ili kumtoa Ukraine Kursk umeshindwa unaanza visingizio, Pale Kursk wakaazi laki na nusu wameondolewa kwasababu ya Ukraine

View attachment 3212336
Hehe kumtoa au kumdhibiti asisogee mbona kumtoa katema zaidi ya 60%ya alipoingia mbona jamaa ni wepesi sana......Ukraine karudisha asilimia ngapi ya nchi yake iliyomegwa? Zaidi anaendelea kumegwa hakuna sehemu aliyoirudisha
 
Nakukumbusha hata Israel anakomboa mateka 128 kwa kutoa wafungwa 1000 , hata Urusi atatoa vitu vingi kwa lile eneo la Kursk kwasababu ni aibu kwake superpower kumegewa eneo ni aibu sana
Asante sana kwa kumtambua kua Urusi ni superpower ....na anacheza chess sio drafti kama hao wamagharibi....kursk mtu atachezeshwa baadae ataitema huku 20 imeenda urusi....wakitaka wapambane bila kupewa msaada
 
Marekani imeondoa maombi yote ya usafirishaji wa bidhaa kupitia Rzeszow, Constanta, na Varna kwa ajili ya Ukraine.

Usafirishaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kwenda Ukraine kupitia kambi za NATO barani Ulaya umesitishwa.

Kwa makadirio ya awali, hili linahusisha maelfu ya tani za silaha na vifaa vya kijeshi.

Wafanyakazi wote wa Pentagon waliokuwa wakihusika na usambazaji wa silaha kwenda Kyiv wamefutwa kazi au kusimamishwa.

Ukaguzi mkubwa wa matumizi mabaya ya fedha za msaada kwa Ukraine umeanza.

===============================================

The United States has withdrawn all applications for the transit of goods in the interests of Ukraine through Rzeszow, Constanta and Varna.

All shipments of weapons and military equipment to Ukraine have been stopped at NATO bases in Europe.

According to preliminary estimates alone, we are talking about several thousand tons of weapons and military equipment.

All Pentagon employees involved in arms supplies to Kyiv have been fired or suspended.

A large-scale audit of the misuse of funds for aid to Ukraine begins.

Taarifa hii haina ukweli wowote. Ni uongo uongo tu.
Kwasasa Trump Kambona Putin na sio kinyume chake
 
Asante sana kwa kumtambua kua Urusi ni superpower ....na anacheza chess sio drafti kama hao wamagharibi....kursk mtu atachezeshwa baadae ataitema huku 20 imeenda urusi....wakitaka wapambane bila kupewa msaada
Hakuna chess hapo Urusi anateseka kukomboa Kursk ambayo Ukraine hawezi kubali ikombolewe, kwasababu anataka kwenda na kitu kwenye meza ya mazungumzo, hakuvamia lile eneo kujifurahisha Zelensky , alikwenda Kursk kuchukua ardhi ya Urusi
 
Back
Top Bottom