joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wewe kinacho endelea pale Ukraine unaamini hakuna hiko kitu? China ,Iran hawawezi kumuacha Russia na Russia hawezi kuwacha Iran na China.Nafikiri umemsikia Waziri wa mambo ya nje ya Urusi hakuna ushirikiano wa kijeshi pale BRICS, kwahiyo unaweza kuita unavyotaka lakini BRICS hakuna hili jambo la kijeshi, PROMETE maana yake sio ushirikiano wa kijesho ni kusisitiza/ kupigia kampeni mbona hata mtoto mdogo ana elewa hili