joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wewe kinacho endelea pale Ukraine unaamini hakuna hiko kitu? China ,Iran hawawezi kumuacha Russia na Russia hawezi kuwacha Iran na China.Nafikiri umemsikia Waziri wa mambo ya nje ya Urusi hakuna ushirikiano wa kijeshi pale BRICS, kwahiyo unaweza kuita unavyotaka lakini BRICS hakuna hili jambo la kijeshi, PROMETE maana yake sio ushirikiano wa kijesho ni kusisitiza/ kupigia kampeni mbona hata mtoto mdogo ana elewa hili
Hivi unajua why China na Russia now wanashirikiana na Talban? Tatizo lako hauna hata instinct za kijasusi......... hivi unazani China na Russia wanataka nini kwa Talban?Orshenik haina maajabu, alipewa baada ya kuona Putin anapiga mkwala ambao hawezi kufanya chochote au umesahau Putin alivyotishia Nyuklia lakini Biden akampuuza na akampa silaha, sasa kule Afghastan wana zungumza na Taliban hata juzi wamebadilishana mateka zile silaha Taliban hawezi kutumia ndio maana wanazitaka hakuna uhusiano wowote na msaada wa Ukraine, NDIO MAANA TRUMP kamwambia PUTIN acha vita vyako vya KIJINGA
View attachment 3212736
China amesha sema hawezi peleka kifaa chake wala mwanajeshi wake Urusi, Iran mwenyewe ana majanga kibao Assad katolewa, huku Hizbollah amenyoosha mikono,hakuna anacho weza kufanya zaidi ya kuuza silaha tu kwa UrusiWewe kinacho endelea pale Ukraine unaamini hakuna hiko kitu? China ,Iran hawawezi kumuacha Russia na Russia hawezi kuwacha Iran na Russia.
China Sera yake iko wazi ni biashara haitaji kujua nani anatawala vip, Urusi ana chochote cha maana kule Afganstan bora hata muhindi ana faida kwa TalibanHivi unajua why China na Russia now wanashirikiana na Talban? Tatizo lako hauna hata instinct za kijasusi......... hivi unazani China na Russia wanataka nini kwa Talban?
Sasa vikwazo tangu lini vimeifanya Russia ishindwe kusonga mbeleUrusi kaambiwa akubali vita kuisha au atapigwa vikwazo 😀, Trump hataki utani
Wee Jamaa wale maaskari wameletwa Kwa lengo la kuipa uzoefu NK ktk uwanja wa vita ndio maana baada ya SK kuona NK wamepeleka wanajeshi ktk battlefield na wao wakawa Wana taka kupeleka wanajeshi wao , maana Wanajua baada ya Hiyo vita kuisha wenzao wa NK watakuwa wamerudi na uzoefu mkubwa wa medani za kivitaLengo ni kufifisha uchumi ili iwe tabu kuendelea na vita, nafikiri tabu inaonekana mpaka askari wanaletwa kutoka Korea kaskazini , maana yake watu wa Urusi wanakufa na kuumia sana vitani
Mbona China amepeleka vifaa vingi mpaka drones.China amesha sema hawezi peleka kifaa chake wala mwanajeshi wake Urusi, Iran mwenyewe ana majanga kibao Assad katolewa, huku Hizbollah amenyoosha mikono,hakuna anacho weza kufanya zaidi ya kuuza silaha tu kwa Urusi
Narudia tena China,Iran na NK wamepeleka vifaa Russia na vingine vinafanyiwa majaribio Ukraine kujua uwezo wake.NK kama alivyosema mdau hao juu,wamepeleka wanajeshi wao kupata uzoefu.China Sera yake iko wazi ni biashara haitaji kujua nani anatawala vip, Urusi ana chochote cha maana kule Afganstan bora hata muhindi ana faida kwa Taliban
Hakuna majaribio ni msaada ambao anapewa Urusi baada ya vita kuwa ngumu, Korea kaskazini wamepeleka watu wao kuchinjwa kwa kupewa teknolojia na chakula , China mwenyewe ana majanga yake na Taiwan hawezi kuingia kwenye shida za Mrusi mbona hili jambo amesema sana, sasa Iran atatoa msaada gani wakati vikundi vyake mwenyewe vinataabika , Iran atauza hizo Shaheed Drone za bei rahisiNarudia tena China,Iran na NK wamepeleka vifaa Russia na vingine vinafanyiwa majaribio Ukraine kujua uwezo wake.NK kama alivyosema mdau hao juu,wamepeleka wanajeshi wao kupata uzoefu.
China amekataa wewe ndio una mlazimisha, kama ni Drone basi za kijamii sio kijeshiMbona China amepeleka vifaa vingi mpaka drones.
Yaani vita iwe ngumu kwa Russia then Trump na Zelenskyy wanaomba kukaa mezani, mbona vitu unavyo zungumza havina logic, ww hapo huoni nanai anaomba vita viishe?Hakuna majaribio ni msaada ambao anapewa Urusi baada ya vita kuwa ngumu, Korea kaskazini wamepeleka watu wao kuchinjwa kwa kupewa teknolojia na chakula , China mwenyewe ana majanga yake na Taiwan hawezi kuingia kwenye shida za Mrusi mbona hili jambo amesema sana, sasa Iran atatoa msaada gani wakati vikundi vyake mwenyewe vinataabika , Iran atauza hizo Shaheed Drone za bei rahisi
Wameleta kumnusuru Putin kule Kursk hakuna cha uzoefu pale, tena wamewadanganya askari wa watu kuwa wanakuja kwenye mafunzo ya kawaida kumbe wana waingiza vitani, hizi nchi zina uhuni sanaSasa vikwazo tangu lini vimeifanya Russia ishindwe kusonga mbele
Wee Jamaa wale maaskari wameletwa Kwa lengo la kuipa uzoefu NK ktk uwanja wa vita ndio maana baada ya SK kuona NK wamepeleka wanajeshi ktk battlefield na wao wakawa Wana taka kupeleka wanajeshi wao , maana Wanajua baada ya Hiyo vita kuisha wenzao wa NK watakuwa wamerudi na uzoefu mkubwa wa medani za kivita
Wewe bisha ila Chinese anavifaa vyake vingi Russia wanafanya majaribio.China amekataa wewe ndio una mlazimisha, kama ni Drone basi za kijamii sio kijeshi
Sio mimi wachina wenyewe wanakataa sasa , nikuamini wewe au wachina, kama wamepeleka kwanini wadanganye? au wana muogopa US ? Sema tujueWewe bisha ila Chinese anavifaa vyake vingi Russia wanafanya majaribio.
Trump hajaomba anataka Urusi asitishe vita na Zelensky , wewe unaona hii kauli ni ya kuomba kutoka kwa Trump, Trump ana mwambia Putin aache vita vyake vya KIJINGA wewe unasema ni ombi hili, subiri uoneYaani vita iwe ngumu kwa Russia then Trump na Zelenskyy wanaomba kukaa mezani, mbona vitu unavyo zungumza havina logic, ww hapo huoni nanai anaomba vita viishe?
Siyo pazuri sana, ila ni pa tofauti sana!Bora vita iishe niende nikatembee Moscow nasikia kuzuri sana....
Sio mimi wachina wenyewe wanakataa sasa , nikuamini wewe au wachina, kama wamepeleka kwanini wadanganye? au wana muogopa US ? Sema tujue
View attachment 3212740
Endelea kubisha.Trump hajaomba anataka Urusi asitishe vita na Zelensky , wewe unaona hii kauli ni ya kuomba kutoka kwa Trump, Trump ana mwambia Putin aache vita vyake vya KIJINGA wewe unasema ni ombi hili, subiri uone
View attachment 3212741
Hakuna majaribio ni msaada ambao anapewa Urusi baada ya vita kuwa ngumu, Korea kaskazini wamepeleka watu wao kuchinjwa kwa kupewa teknolojia na chakula , China mwenyewe ana majanga yake na Taiwan hawezi kuingia kwenye shida za Mrusi mbona hili jambo amesema sana, sasa Iran atatoa msaada gani wakati vikundi vyake mwenyewe vinataabika , Iran atauza hizo Shaheed Drone za bei rahisi
Mzee unabishia wasemaji wa serikali ya CHINA? wenyewe wamesema hakuna hilo jambo la kupeleka silaha Urusi , hayo ni maneno ya msemaji wa mambo ya ndani ya China wewe unaleta story za mitaani, kwani China anaogopa nini kusema kuwa kapeleka silaha Urusi? Mbona wakina US wanatangaza wakipeleka silaha Ukraine, ebu tuambie China anaogopa nini kama wewe msema kweli?Endelea kubisha.
View: https://m.youtube.com/watch?v=QkLqEYlXmj8&pp=ygUtVWtyYWluZSBibGFtZXMgcnVzc2lhIGZvIHVzaW5nIGNoaW5lc2Ugd2VhcG9u
Trump hana uwezo wa kumuamrisha Russia,Russia hii vita na mazungumzo ataya endesha kwa njia na terms anazo taka yeye.
hayaRIpiki......Naam,mambo mengine huwa ya ovyo,utasikia kiongozi kama huyo selensk anashukuru kwa msaada wa silaha fulani toka kwa USA,kumbe ni mkopo,hivi huu uongo huwa ni wa nini?,hata baadhi ya nchi za kiafrika ni hivyo hivyo,na madeni mengi hayaripiki,mwisho wa siku ki nchi cha watu kinakuwa kitumwa cha madeni,hii inahatarisha kabisa Uhuru wa nchi husika.