Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 3,906 Reaction score 2,902 Jan 24, 2025 #241 Inakuwaje Sasa Mbona Mahakama inaanza kumpinga Na kusitisha utekelezaji?
J John Wickzer Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 6,656 Reaction score 14,403 Jan 25, 2025 #242 Extrovert said: Kwahio kuna mtu atakuja kutuhenyesha na JWTZ wakiwa wapo😄? Click to expand... Kwani Zaire na Iran zinazohenyeshwa hawana JWTZ wao?
Extrovert said: Kwahio kuna mtu atakuja kutuhenyesha na JWTZ wakiwa wapo😄? Click to expand... Kwani Zaire na Iran zinazohenyeshwa hawana JWTZ wao?
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Jan 25, 2025 #243 John Wickzer Mulholland said: Kwani Zaire na Iran zinazohenyeshwa hawana JWTZ wao? Click to expand... Watahenyeshwa JWTZ sio sisi😁
John Wickzer Mulholland said: Kwani Zaire na Iran zinazohenyeshwa hawana JWTZ wao? Click to expand... Watahenyeshwa JWTZ sio sisi😁
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Jan 25, 2025 #244 toriyama said: Unaandika maneno haya na hujawai hata kufika U.S hujui hata Whitehouse Wala Jengo la Pentagon lilipo unaandika kisa limekuja wazo lako kichwani la kijinga hujawai fika hata Kremlin Wala hata Russia huijui Click to expand... Ukifika huko ndio unakuwa mwelewa wa mambo ya dunia? Au kufika tu ni sawa na kuhitimu chuo kikuu?
toriyama said: Unaandika maneno haya na hujawai hata kufika U.S hujui hata Whitehouse Wala Jengo la Pentagon lilipo unaandika kisa limekuja wazo lako kichwani la kijinga hujawai fika hata Kremlin Wala hata Russia huijui Click to expand... Ukifika huko ndio unakuwa mwelewa wa mambo ya dunia? Au kufika tu ni sawa na kuhitimu chuo kikuu?
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Jan 25, 2025 #245 TIMING said: Umeanza vizuri nikadhani una akili Yaani trump apokee maelekezo kutoka Moscow? Hivi huwa mnapata wapi hizi comedies? Click to expand... Amepiga kvant huyo.
TIMING said: Umeanza vizuri nikadhani una akili Yaani trump apokee maelekezo kutoka Moscow? Hivi huwa mnapata wapi hizi comedies? Click to expand... Amepiga kvant huyo.
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Jan 26, 2025 #246 T14 Armata said: Aah kwahiyo ulitoa hii habari isiyo na ukweli kama kisasi cha CNN na WP Click to expand... Jibu swali acha kuuliza swali!!
T14 Armata said: Aah kwahiyo ulitoa hii habari isiyo na ukweli kama kisasi cha CNN na WP Click to expand... Jibu swali acha kuuliza swali!!