Utawala wa Trump waitaka Israel iweke akili yake sawa isaini usitishwaji vita Gaza haraka

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Wakati raisi Donald Trump akijitayarisha kuanza ziara ya mashariki ya kati hivi punde,utawala huo umeonekana kubadili nia ghafla kuhusiana na vita vya Gaza.

Katika ziara hiyo raisi Trump atazitembelea Qattar,Saudi Arabia na umoja wa falme za kiarabu bila kuingiza ratiba ya kuizuru Israel.Balozi wa Israel nchini Marekani tangu majuzi amekuwa akijaribu kufanya mawasiliano na ikulu ya Marekani ili raisi huyo asimame japo kidogo nchini mwao.

Kwa mujibu wa gazeti la Jerusalem Post utawala wa Marekani umeionya Israel kwamba ikiendelea kukaidi kusitisha vita basi itapata majibu mazito na kwamba Marekani inaweza ikafanya namna fulani ya mazungumzo yenye lengo hilo na Saudi Arabiia bila hata kuishirikisha Israel.

US official says Washington may advance Saudi deal without Israel: Reports​

Vita kawaida ni mbaya na haitabiriki.
 
Trump mnafiki anataka kuwapumbaza waarabu wakati lao Moja na Wayahudi.
 
Unataka usitishwaji wa Mapigano? Bring back all hostages!!!!
 
United States of America has no permanent friends, but permanent interests.
 
Back
Top Bottom