love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
wewe mpumbavu kweli kwahiyo umeshaona mpaka yajayo.Hakuna kundi lenye nchi zaidi ya rais.na hakutatokea ndani ya CCM mtu mwenye nguvu,pesa na ushawishi Kama Edward ngoyai Lowasa nn kilitokea ndio ujue hizo kura unazosema zilipigwa kwa wingi waliamua kuziacha Kama zilivyo kwani mwenyekiti angeamua kubadilisha alikuwa anashindwa fikiria Mara mbili
Nyerere alimtaka Salim akaja Mwinyi, Mwinyi sijui kama alimtaka Mkapa
Mkapa sijui kama alimtaka JK, Hata JK kumpitisha Magu ni kupoza nguvu ya Lowasa