love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
wewe mpumbavu kweli kwahiyo umeshaona mpaka yajayo.Hakuna kundi lenye nchi zaidi ya rais.na hakutatokea ndani ya CCM mtu mwenye nguvu,pesa na ushawishi Kama Edward ngoyai Lowasa nn kilitokea ndio ujue hizo kura unazosema zilipigwa kwa wingi waliamua kuziacha Kama zilivyo kwani mwenyekiti angeamua kubadilisha alikuwa anashindwa fikiria Mara mbili
YametimiaUnapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Du!Yametimia
Yanatimia ....Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Huwa najiuliza huyu Suzy Elias ni nani?Yanatimia ....
Utaharibu uhondo akijulikana,Huwa najiuliza huyu Suzy Elias ni nani?
Kiko wapi? Bado unaweza kuisimamia hiyo kauli yako?!Ukiona hivyo ujue huyo ni mfuasi wa hayati.
Anatapatapa tu... Anadhani Mama anafanya mabadiliko makubwa kama haya akiwa jikoni anakaanga chapati. Hajui Urais ni taasisi na haya hayafanyiki bila makubaliano na wanataasisi...
Naisimamia hii mpaka keshokutwa.Kiko wapi? Bado unaweza kuisimamia hiyo kauli yako?!
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.[emoji3064][emoji848][emoji2827]Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Kabisa.Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kada wa ccm MWENYE masikio tulivu sana anasikia hata mwangwi wa siri zinazozungumzwa kwenye kuta za lumumba!!!Huwa najiuliza huyu Suzy Elias ni nani?
Nchi ipi iliyotulia?!Hutatulia wewe na roho mbaya yako.
Nchi imetulia na amani imetawala.
Heshima yako mkuu! Vp za kwenye corridor mkataba unaweza kufutwa?Nchi ipi iliyotulia?!
Katiba hii tulio nayo inahitaji kiongozi mwenye uwezo kichwani sio hawa wasio na bando
Sijui jina hili la bi chakunaku alilitoa wapi?Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Sent using Jamii Forums mobile app