Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kwa asilimia kubwa wadada wengi ni wategemezi kwa wanaume au wapenzi wao, hata kama wao wana kazi nzuri inayowalipa vizuri lakini bado watategemea cha mwanaume wake. Kwa hali hiyo wakuu si bora uoe au utafute mpenzi (mdada) ambaye ni jobless tu. Cha kwake ni cha kwake, na cha kwako ni cha kwenu; kwa hali hii hapana!
Wakuu mnasemaje?
Wakuu mnasemaje?