Sasa tumshukuru nani Bashungwa kwa kutosikia utekaji maana kitambo hatujasikia kelele kwamba huyu ametekwa sasa tumshukuru huyu waziri mteule wa mambo ya ndani kwa kufanikisha hili au wale watekaji au wachora ramani wapo bize na uchaguzi wa ndani? Na je uchaguzi ukiisha tutegemee utekaji ukianza tena? Ngoja tuone......