Kwa walio onyeshwa account ya IGP ya CRDB yenye zaidi ya billion moja wakati Polisi wenzake wakiwa maskini msishangae. Pesa nyingi sasa zinatumika kwa kubana wapinzani na uhuru. Ili kufanikisha hayo hawa viongozi wa usalama wanamiradi ya kipigaji isiyo na mbele wala nyuma. Kwa ufupi hii sitofahamu wamefanya biashara sasa na hawa viongozi wa usalama hawataki nchi itulie kwasababu uoga wa watawala ndiyo biashara yao. Kwasa kila mtu wa usalama na Polisi wa juu ni matajiri wa kutupa na Mama na wapambe wake wanafunga macho