Utekaji ni biashara tusishangae IGP kuwa Billionea kwa muda mfupi

Utekaji ni biashara tusishangae IGP kuwa Billionea kwa muda mfupi

Labda wanafanya Organ harvesting business?🤔
Viungo vya Critics wa Samia na WanaCHADEMA huenda vikawa vinauzwa?
 
Personally I rock your body
I promise you go home
You won't tell your daddy
I'll give it to you like you've never had it
Screaming chin chin like speaking Chinese
Ehn na wetin be this
Baka boom boom na weti I see
Saga, but she no wan gree
She talk say she no wan leave
 
Hivi katika utumishi wake wote,mpaka kufikia kuwa IGP hawezi kuwa na nyumba moja masaki,na nyingine mbweni + na mulupulupu ya kukopea bilioni moja mpaka tuamini ni wizi.Mimi binafsi naamini B1 kwa IGP inawezekana bila wizi.
Duuh 1B kwa mtumishi wa Umma Tanzania,
 
Kwa walio onyeshwa account ya IGP ya CRDB yenye zaidi ya billion moja wakati Polisi wenzake wakiwa maskini msishangae. Pesa nyingi sasa zinatumika kwa kubana wapinzani na uhuru. Ili kufanikisha hayo hawa viongozi wa usalama wanamiradi ya kipigaji isiyo na mbele wala nyuma. Kwa ufupi hii sitofahamu wamefanya biashara sasa na hawa viongozi wa usalama hawataki nchi itulie kwasababu uoga wa watawala ndiyo biashara yao. Kwasa kila mtu wa usalama na Polisi wa juu ni matajiri wa kutupa na Mama na wapambe wake wanafunga macho
sure
 
Back
Top Bottom