Utekaji ni biashara tusishangae IGP kuwa Billionea kwa muda mfupi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kwa walio onyeshwa account ya IGP ya CRDB yenye zaidi ya billion moja wakati Polisi wenzake wakiwa maskini msishangae. Pesa nyingi sasa zinatumika kwa kubana wapinzani na uhuru. Ili kufanikisha hayo hawa viongozi wa usalama wanamiradi ya kipigaji isiyo na mbele wala nyuma. Kwa ufupi hii sitofahamu wamefanya biashara sasa na hawa viongozi wa usalama hawataki nchi itulie kwasababu uoga wa watawala ndiyo biashara yao. Kwasa kila mtu wa usalama na Polisi wa juu ni matajiri wa kutupa na Mama na wapambe wake wanafunga macho
 
Labda za op ya kuwalipa watekaji majambazi ndio upewa mission hizo kwa kulipwa pesa mingi kuchukua roho
 
Hivi katika utumishi wake wote,mpaka kufikia kuwa IGP hawezi kuwa na nyumba moja masaki,na nyingine mbweni + na mulupulupu ya kukopea bilioni moja mpaka tuamini ni wizi.Mimi binafsi naamini B1 kwa IGP inawezekana bila wizi.
 
Na hiyo Bilion 1 ni balance iliyopo CRDB tu bado NMB, Azania na Benki nyingine.
 
Bilioni Moja.... Mtumishi wa umma ana bilioni moja kwenye akaunti yake benki!

Kuna mahusiano yoyote kati ya cheo alichonacho na ukwasi alionao?
 
Hivi katika utumishi wake wote,mpaka kufikia kuwa IGP hawezi kuwa na nyumba moja masaki,na nyingine mbweni + na mulupulupu ya kukopea bilioni moja mpaka tuamini ni wizi.Mimi binafsi naamini B1 kwa IGP inawezekana bila wizi.
Ni vizuri basi ikimpendeza ajitokeze yeye mwenyewe na kutoa mchanganuo wa namna alivyo ipata hiyo bilioni moja huku akiwa ndani ya utumishi wake wa umma.
 
Hivi katika utumishi wake wote,mpaka kufikia kuwa IGP hawezi kuwa na nyumba moja masaki,na nyingine mbweni + na mulupulupu ya kukopea bilioni moja mpaka tuamini ni wizi.Mimi binafsi naamini B1 kwa IGP inawezekana bila wizi.
Unaamin bila kupiga kuwa anaweza kupata nyumba Masaki..thubut

Kuwa Na nyumba Masaki ni kuanzia billion 2.5 ebu piga hesabu YA salary YA milion 6 toka awe IGP kuwa amekatwa Kwa miaka 10 tuone kama itafika billion 3 .5
 
Wambura ni jambazi tu
Hujui mishahara ya serikali? Bilioni sio hela ndogo ujue
Unaamin bila kupiga kuwa anaweza kupata nyumba Masaki..thubut

Kuwa Na nyumba Masaki ni kuanzia billion 2.5 ebu piga hesabu YA salary YA milion 6 toka awe IGP kuwa amekatwa Kwa miaka 10 tuone kama itafika billion 3 .5
Awe bilionea mara ngapi?
Na hiyo Bilion 1 ni balance iliyopo CRDB tu bado NMB, Azania na Benki nyingine.
Ndio, wahongaji ni viongozi wandamizi wa chama kile.
Nchi Inaisha Sasa
 
Unaamin bila kupiga kuwa anaweza kupata nyumba Masaki..thubut

Kuwa Na nyumba Masaki ni kuanzia billion 2.5 ebu piga hesabu YA salary YA milion 6 toka awe IGP kuwa amekatwa Kwa miaka 10 tuone kama itafika billion 3 .5
Tuseme alinunua eneo kubwa mbweni na sehemu zingine miaka ishirini iliyopita akiwa bado afisa mdogo akauza mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…