Utekaji wa kisiasa utaisha pindi wanasiasa kuacha kutukanana kushililisha viongozi wa kitaifa

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.

Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna

Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana

USSR
 
Mfano kusema chura kiziwi ni mjinga nalo ni tusi?
 
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.

Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna

Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana

USSR

..mnavyo wakamata na kuwauwa ndivyo mnavyozidi kuwachafua viongozi wa Ccm na serikali.

..Pia mnajijengea mazingira ya hofu na kutoaminiana.

..Kutawala huku unafuga genge la watekaji ni tunajenga hofu kwa watawala, na hofu hiyo itaendelea hata baada ya kutoka madarakani.

..Tanzania ni yetu sote.
 
Sasha anazingua utekaji ni mambo ya kishamba.
 
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.

Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna

Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana

USSR
Mkuu kuwa mchache wa maneno. Shetani hana rafiki wa kudumu.
 
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.

Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna

Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana

USSR
Kipimo mnachowapimia hao Watu mnaowateka mateka ndicho mtakacho pimiwa.

Wakati wa malipizi upo njiani unakuja, kwa Hali hii mliyoianzisha, no one is safe.
 
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.

Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna

Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana

USSR

Kutukana ni nini na kukosoa ni ni i na mstari unauchora wapi?

Kama mtu hataki kutukanwa, asiingie kwenye siasa.
 
USSRKejeli na dhihaka

Kutukana ni nini na kukosoa ni ni i na mstari unauchora wapi?

Kama mtu hataki kutukanwa, asiingie kwenye siasa.
Kejeli na dhihaka kwenye siasa ndiyo utamu wenyewe mimi namshauri mbowe hata ile kesi anayo taka kumfungulia msigwa wala asijisumbue kufungua account kwani kama matusi kejeli vijembe anapigwa na watu wengi sana huko CCM kwa hiyo na CCM viongozi wao wakikejeliwa au wakidhihakiwa wala waspaniki ukisha jiingiza kuwatumikia jamii kuna watakao kusifu na pia wapo watakao kukejeli, Hata hao POLISI ambao CDM ina washutumu kwa utekaji ila wakati mwingine wanawashukuru wanapo wasaidia katika matukio mbalimbali ya kiuhalifu yanayo wapata mmoja mmoja wao. kwa hiyo usihalalishe mauaji utesaji na ukanadamizaji tu kwakuwa nyie Mnadola. Ukiwa mtumishi wa uma unapaswa kukubali yote, Pongezi au shutma.
 
Unaingia madarakani kwa kupora uchaguzi, kisha unataka uheshimiwe! Kupora uchaguzi ni zaidi ya matusi.
 
Kejeli na dhihaka kwenye siasa ndiyo utamu wenyewe mimi namshauri mbowe hata ile kesi anayo taka kumfungulia msigwa wala asijisumbue kufungua account kwani kama matusi kejeli vijembe anapigwa na watu wengi sana huko CCM kwa hiyo na CCM viongozi wao wakikejeliwa au wakidhihakiwa wala waspaniki ukisha jiingiza kuwatumikia jamii kuna watakao kusifu na pia wapo watakao kukejeli, Hata hao POLISI ambao CDM ina washutumu kwa utekaji ila wakati mwingine wanawashukuru wanapo wasaidia katika matukio mbalimbali ya kiuhalifu yanayo wapata mmoja mmoja wao. kwa hiyo usihalalishe mauaji utesaji na ukanadamizaji tu kwakuwa nyie Mnadola. Ukiwa mtumishi wa uma unapaswa kukubali yote, Pongezi au shutma.
Hayo yanayoitwa matusi mara nyingi ni maneno ya ukweli tu, au maneno controversial ambayo yana tafsiri tofauti.

Sasa kwa mfano mtu akisema Samia nchi imemshinda hawezi kuongoza kamtukana au kasema ukweli tu?
 
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.

Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna

Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana

USSR

Kutukana ni nini na kukosoa ni ni i na mstari unauchora wapi?

Kama mtu hataki kutukanwa, asiingie kwenye siasa.
Unahamasisha matusi kwa Mbowe au kwa kanisa

Matusi no logical fallacy.

Ni ad hominem attack.

Mtu akikutukana unamwambia tu hapo umefanya logocal fallacy, huja address hoja, umenitukana mimi binafsi.

Kwisha kazi.
 
Mleta Uzi andika tena upya.Una haraka kwenda wapi?Kwa akili hiyo Nchi haiwezi Kuendelea:Weka hoja mezani vizuri ieleweke,Sema Sera yetu Kuteka na Kuua watu wenye mawazo tofauti.Iweke hiyo Sera na hata Wakati wa Kampeni Sema Mchana kweupe:Kuwa kama Hitla au Musolin.
 
Back
Top Bottom