Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.
Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna
Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana
USSR
Haya endeleeni kuchochea motoUwazi polisi umechelewa sana dogo
USSR
Mkuu kuwa mchache wa maneno. Shetani hana rafiki wa kudumu.Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.
Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna
Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana
USSR
Kipimo mnachowapimia hao Watu mnaowateka mateka ndicho mtakacho pimiwa.Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.
Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna
Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana
USSR
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.
Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna
Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana
USSR
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.
Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna
Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana
USSRKejeli na dhihaka
Kejeli na dhihaka kwenye siasa ndiyo utamu wenyewe mimi namshauri mbowe hata ile kesi anayo taka kumfungulia msigwa wala asijisumbue kufungua account kwani kama matusi kejeli vijembe anapigwa na watu wengi sana huko CCM kwa hiyo na CCM viongozi wao wakikejeliwa au wakidhihakiwa wala waspaniki ukisha jiingiza kuwatumikia jamii kuna watakao kusifu na pia wapo watakao kukejeli, Hata hao POLISI ambao CDM ina washutumu kwa utekaji ila wakati mwingine wanawashukuru wanapo wasaidia katika matukio mbalimbali ya kiuhalifu yanayo wapata mmoja mmoja wao. kwa hiyo usihalalishe mauaji utesaji na ukanadamizaji tu kwakuwa nyie Mnadola. Ukiwa mtumishi wa uma unapaswa kukubali yote, Pongezi au shutma.Kutukana ni nini na kukosoa ni ni i na mstari unauchora wapi?
Kama mtu hataki kutukanwa, asiingie kwenye siasa.
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.
Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna
Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana
USSR
Hayo yanayoitwa matusi mara nyingi ni maneno ya ukweli tu, au maneno controversial ambayo yana tafsiri tofauti.Kejeli na dhihaka kwenye siasa ndiyo utamu wenyewe mimi namshauri mbowe hata ile kesi anayo taka kumfungulia msigwa wala asijisumbue kufungua account kwani kama matusi kejeli vijembe anapigwa na watu wengi sana huko CCM kwa hiyo na CCM viongozi wao wakikejeliwa au wakidhihakiwa wala waspaniki ukisha jiingiza kuwatumikia jamii kuna watakao kusifu na pia wapo watakao kukejeli, Hata hao POLISI ambao CDM ina washutumu kwa utekaji ila wakati mwingine wanawashukuru wanapo wasaidia katika matukio mbalimbali ya kiuhalifu yanayo wapata mmoja mmoja wao. kwa hiyo usihalalishe mauaji utesaji na ukanadamizaji tu kwakuwa nyie Mnadola. Ukiwa mtumishi wa uma unapaswa kukubali yote, Pongezi au shutma.
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.
Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna
Ukija kutukana jua utajificha na utapatikana
USSR
Matusi no logical fallacy.Unahamasisha matusi kwa Mbowe au kwa kanisa
USSR