Pre GE2025 Utekaji wamliza Makonda

Pre GE2025 Utekaji wamliza Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi nikisema naichukia siasa kutoka moyoni mwangu hamuelewi. I hate unafiki na ukiwa mwanasiasa lazima uwe mnafiki na muongo
 
"Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote".

"Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo Takukuru imethibitisha kwamba wanalimiki kihalali mjane wake? Hapana msifanye hivyo"!

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amethibitisha kuitambua kesi hiyo na kubainisha kuwa Jalada la Kesi hiyo iliyofunguliwa miezi mitatu iliyopita lipo kwa Mwedesha Mashitaka Mkuu wa Serikali DPP.

Hoja hizo zimemfanya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda kushikwa na simanzi, kulia na kushindwa kuendelea kusikiliza kero za wananchi wa Tinde Mkoani Shinyanga.

Clouds TV
Makonda al maarifu Aka Bashite mwana wa Daudi mbeba sime!

Nikushauri kitu utakuja kumbuka mbeleni.

Huu mfupa unaojinganganiza kutafuna nyama humo ndani hutafanikisha!

Haya yooote unayoyaibua na kutaka kupata suluhisho yamefanywa na wana CCM wentewe ndani ya Serikali yako na wateuliwa wa aliyekupa hiyo nafasi.

Wewe binafsi ni mmoja wa waharibifu mkubwa wa uhai za watu na buashara za watu!
Kumbuka uliyoyafanya Ukiwa Mkuu Mkoa DAR.

Hayahesabiki ila kiukweli Mungu huyo unayemlilia ndiye huyo wengine wamelia kwa ajili ya ndugu zao.

Tafakari na uachane na kufukunyua makaburi! Hata unayejaribu kumuiga kwa kujitafutia sifa naye aliyafqnya lakini mwisho wa siku unajua iliendaje!

Ndani ya hiyo CCM yetu unayoisemea walipita wengi hawakuyafanya.
Muulize Balozi na Mzee wa kupiga magoti!
Asikiaye na ..
 
Makonda aache unafiki. Mbona yeye kawateka na kuwaua akina Ben Sa8, Mkomoro, Azory Gwanda n.k ?

Ipo siku huyu Makonda atakufa mdomo wazi kwa madhambi yake haya.

ushahidi unao au singeli unaimba
 
"Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote".

"Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo Takukuru imethibitisha kwamba wanalimiki kihalali mjane wake? Hapana msifanye hivyo"!

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amethibitisha kuitambua kesi hiyo na kubainisha kuwa Jalada la Kesi hiyo iliyofunguliwa miezi mitatu iliyopita lipo kwa Mwedesha Mashitaka Mkuu wa Serikali DPP.

Hoja hizo zimemfanya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda kushikwa na simanzi, kulia na kushindwa kuendelea kusikiliza kero za wananchi wa Tinde Mkoani Shinyanga.

Clouds TV
Stupid makonda, Ben Saanane yuko wapi? sikiliza hii clip
asiwafanye watu wote wajinga, kuna siku atalipa aliowapoteza
 
Attachments

  • LEMA MAKONDA.mp4
    10.2 MB
Makonda aache unafiki. Mbona yeye kawateka na kuwaua akina Ben Sa8, Mkomoro, Azory Gwanda n.k ?

Ipo siku huyu Makonda atakufa mdomo wazi kwa madhambi yake haya.
Tena mwili wake ukiwa unatetemeka km jenereta bovu la King max [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makonda aache unafiki. Mbona yeye kawateka na kuwaua akina Ben Sa8, Mkomoro, Azory Gwanda n.k ?

Ipo siku huyu Makonda atakufa mdomo wazi kwa madhambi yake haya.

Watanzania wengi wajinga ...... Jamaa linazunguka nchi nzima likifanya maigizo watu wanaamini linasovle matatizo yao. Kweli wajinga ndiyo waliwao!!
 
"Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote".

"Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo Takukuru imethibitisha kwamba wanalimiki kihalali mjane wake? Hapana msifanye hivyo"!

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amethibitisha kuitambua kesi hiyo na kubainisha kuwa Jalada la Kesi hiyo iliyofunguliwa miezi mitatu iliyopita lipo kwa Mwedesha Mashitaka Mkuu wa Serikali DPP.

Hoja hizo zimemfanya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda kushikwa na simanzi, kulia na kushindwa kuendelea kusikiliza kero za wananchi wa Tinde Mkoani Shinyanga.

Clouds TV
Hapo alipo yeye anajua Bado ni mkuu wa mkoa hajui kama yeye ni msemaji tu wa chama
 
Ila makonda Kama alishiriki uwauwa na kujaribu kumua [emoji220] antipasa

Hakika kifo chake kitauzunisha mno iko siku ataingia 18 za wahuni
 
"Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote".

"Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo Takukuru imethibitisha kwamba wanalimiki kihalali mjane wake? Hapana msifanye hivyo"!

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amethibitisha kuitambua kesi hiyo na kubainisha kuwa Jalada la Kesi hiyo iliyofunguliwa miezi mitatu iliyopita lipo kwa Mwedesha Mashitaka Mkuu wa Serikali DPP.

Hoja hizo zimemfanya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda kushikwa na simanzi, kulia na kushindwa kuendelea kusikiliza kero za wananchi wa Tinde Mkoani Shinyanga.

Clouds TV
Ali kumbushwa zama zake. Kalia kinafiki.
 
Back
Top Bottom