Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣🤣🤣Mtekaji anapopelekewa kesi ya utekaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Mtekaji anapopelekewa kesi ya utekaji.
Makonda al maarifu Aka Bashite mwana wa Daudi mbeba sime!
"Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote".
"Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo Takukuru imethibitisha kwamba wanalimiki kihalali mjane wake? Hapana msifanye hivyo"!
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amethibitisha kuitambua kesi hiyo na kubainisha kuwa Jalada la Kesi hiyo iliyofunguliwa miezi mitatu iliyopita lipo kwa Mwedesha Mashitaka Mkuu wa Serikali DPP.
Hoja hizo zimemfanya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda kushikwa na simanzi, kulia na kushindwa kuendelea kusikiliza kero za wananchi wa Tinde Mkoani Shinyanga.
Clouds TV
Makonda aache unafiki. Mbona yeye kawateka na kuwaua akina Ben Sa8, Mkomoro, Azory Gwanda n.k ?
Ipo siku huyu Makonda atakufa mdomo wazi kwa madhambi yake haya.
Nyani haoni kunduleMakonda aache unafiki. Mbona yeye kawateka na kuwaua akina Ben Sa8, Mkomoro, Azory Gwanda n.k ?
Ipo siku huyu Makonda atakufa mdomo wazi kwa madhambi yake haya.
Stupid makonda, Ben Saanane yuko wapi? sikiliza hii clip
"Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote".
"Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo Takukuru imethibitisha kwamba wanalimiki kihalali mjane wake? Hapana msifanye hivyo"!
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amethibitisha kuitambua kesi hiyo na kubainisha kuwa Jalada la Kesi hiyo iliyofunguliwa miezi mitatu iliyopita lipo kwa Mwedesha Mashitaka Mkuu wa Serikali DPP.
Hoja hizo zimemfanya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda kushikwa na simanzi, kulia na kushindwa kuendelea kusikiliza kero za wananchi wa Tinde Mkoani Shinyanga.
Clouds TV
Tena mwili wake ukiwa unatetemeka km jenereta bovu la King max [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makonda aache unafiki. Mbona yeye kawateka na kuwaua akina Ben Sa8, Mkomoro, Azory Gwanda n.k ?
Ipo siku huyu Makonda atakufa mdomo wazi kwa madhambi yake haya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madereva?Ukistaajabu ya musa utaona ya manenepa
Makonda aache unafiki. Mbona yeye kawateka na kuwaua akina Ben Sa8, Mkomoro, Azory Gwanda n.k ?
Ipo siku huyu Makonda atakufa mdomo wazi kwa madhambi yake haya.
Hapo alipo yeye anajua Bado ni mkuu wa mkoa hajui kama yeye ni msemaji tu wa chama
"Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote".
"Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo Takukuru imethibitisha kwamba wanalimiki kihalali mjane wake? Hapana msifanye hivyo"!
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amethibitisha kuitambua kesi hiyo na kubainisha kuwa Jalada la Kesi hiyo iliyofunguliwa miezi mitatu iliyopita lipo kwa Mwedesha Mashitaka Mkuu wa Serikali DPP.
Hoja hizo zimemfanya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda kushikwa na simanzi, kulia na kushindwa kuendelea kusikiliza kero za wananchi wa Tinde Mkoani Shinyanga.
Clouds TV
Kesi ya utekaji anapopelekewa mtek...Erythrocyte unasemaje kwa hili?😂
Acha kiherehere. Hujaulizwa😂Kesi ya utekaji anapopelekewa mtek...
We mgonjwa bado hujapona tuliaAcha kiherehere. Hujaulizwa😂
Wapi ulisikia eti mimi mgonjwa?We mgonjwa bado hujapona tulia
Ali kumbushwa zama zake. Kalia kinafiki.