Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

Nimetoka Geita, naona huko mkaa wameubadilishia matumizi, gunia la mkaa halikai jikoni, limewekwa pembeni mlangoni mwa choo cha shimo, na huyu mzee mmoja Ngosha nimemuona wakati anaingia kushusha "nya" alichukua vipande viwili vya mkaa akaingia navyo chooni, sijui vya kazi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…