Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

1000006694.jpg
 
Huenda ni utekelezaji wa maazimio ya wakubwa wa dunia, nishati ya kupikia linaenda kuwa swala la kufa na kupona...... bado kutuambia magari yanayotumia mafuta na gesi hayaruhusiwi yanachafua mazingira......kipindi cha dhiki kuu kinazidi kutamalaki, tuzidishe maombi.​
 
Back
Top Bottom