Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Serikali lazima itoe tamko kwenye hili jambo.
Wenyewe wanaita Miradi Misonge ( Vertical Programs) , dawa na vifaa tiba chini ya hii miradi ipo kwa Ufadhili wa USAID kwa zaid ya 80%.
ARVs, TB, Lishe , magonjwa yaliyosahaulika kama busha na matende, chanjo za watoto na mambo mengi yapo chini ya hawa jamaa.
Wakati nipo OCEAN Road , kile kitengo cha radiation Unit na vifaa vyake vilikuwa chini ya ufadhili wa hawa jamaa. USAID wapo maeneo mengi sana hapo bongo ikiwemo kufadhili baadhi ya wanafunzi wa level za juu.
Kustopisha hii misaada madhara yake ni makubwa sana; hii kitu ikiwa full implemented for long Time, Kama Taifa tutakuwa na hali ngumu sana.
Kwenye perspective ya ukweli, Serikali ya Tanzania ni masikini mnoo, wenyewe hamtoweza kwa sababu viongozi wameshauza kila kitu na deni la taifa lipo juu.
Je , Rais Samia Umejipangaje...? Îkiwa Mama Mjamzito anatukanwa kwa kokosa gloves , je huu mzigo utakuaje…..?
Tuendelee kubandika mabango yako nchi nzima na promo za kibabe au tukae chini kujadili hili jambo?
Kwangu Mimi Trump yupo sahihi, Waafrica wana resources nyingi but ni too dependent Kama vilema.
Dr Megalodon Mushy, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada