DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sasa unachoma Moto vifaranga kwa kukosa soko maana yake ukivifuga haviwezi kukua ? Ili watu wapate Mboga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini asitangaze kugawa bure anaamua kuchoma MotoNikikupa hao vifaranga watajifia wanahitaji huduma ya hali ya juu mno. Usifikiri hao ni kama kuku wa kienyeji ndugu.
Mfugaji ambaye hajajiandaa kimtaji hata ukimpa bure anaweza kukataa.
Hata ukipewa vya bure watu hawataki maana anajua hatakuwa na uwezo wa kuwalishawewe tangaza hata bei ndogo uonee kama utakosa watejaaa yani mnafanya overproduction mpaka vifaranga 3000 na bado mnataka muendelee kuzalisha wengine... huyo mtu wa sales nae wakufukuzaa kazi.
Wapi huko ambapo wewe upo umeona watu wanahangaika kutafuta vifaranga na hawapati?Yeye ndie kakosa soko na sio soko limejaa, watu wanahangaika kusaka vifaranga, hawapati
Kwahiyo wewe mabanda yako hayana kuku ulikuwa unasubiri vifike 500 ndio ununue?Lo! hapana nina mabanda hayana vifaranga wagenipatia hata 1000 nigejitahidi kupata chakula .Kweli walishidwa hata kututangazia watu wa Dar hata watuuzie kwa 500 wasingekosa wateja. mm nilitamani kidogo nipige ukunga nilivyoona ule moto. hawakuwaza vyema.yule mmliliki hata sikumuelewa.
Hiko kiwanda wamefanya hivyo kupunguza hasara. Unazalisha umuuzie mfugaji let say una stock ya vifaranga 4000 unasubiri vitoke hakuna wanunuzi utafanyaje
hao wote hawachomwi wakiwa haiSidhani kama hali iko hivyo inawezekana walikuwa hawana njia kabisa! All in all Ukiwa unatetea mambo kama haya huku unamla samaki, kuku, Ng'ombe au kiumbe chochote kile ni yale yale
Haina haja ya kuvigawa bure. Kwan wangeviuza 500 wangepata shingap?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mkurugenzi namfananisha na mkurugenzi flani hiviKupitia taarifa ya habari jana Jumatatu saa mbili usiku Azam TV imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko!
Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo kilichofanywa na uongozi wa kiwanda hicho ni cha kinyama tena kinyama mno.
Kwa kweli nimepigwa na butwaa baada ya kusikiliza habari ile na kumshuhudia mmoja wa wafanyakazi akitupia box moja baada ya jingine juu ya moto mkali huku vifaranga vikilia kwa uchungu! Aisee imeniuma mno.
Sababu za mkurugenzi:
~ Walivisafirisha vifaranga hivyo hadi Dar ili viuzwe kwa tsh 1000, biashara ikawa ngumu kwa sababu ati kuna watu wengi sasa hivi wana ingiza vifaranga toka nje hivyo soko limetibuka.
Wakaamua washushe bei hadi Tsh 900, bado hawakupata soko. Wakaamua mzigo urudi kiwandani Moshi huko nako wakatangaza bei ya Tsh 900 ikashindikana, uamuzi wao wa mwisho ukawa ni kuwateketeza kwa moto mkali!
Tuiombe serikali kitengo cha watu wa mifugo au kama bado ipo taasisi ya kutetea wanyama iwafuatilie wamiliki wa kiwanda hiki na ikibidi wachukuliwe hatua kali ili iwe onyo kwa wengine watakaofikiria kufanya upuuzi huu.
Maana Mkurugenzi wao ameshasema kuwa vifaranga wengine laki nane na nusu wanatarajiwa hivi karibuni na hajui pa kuwapeleka.
Nimejiuliza kwanini basi hata huku Dar na Moshi wasivigawe kwa mtu yeyote atakayeweza kutunza? Hata kama mtu angechukua 20 mwingine box 4, mwenye vifaranga 60 n.k, wangetangaza tu hadharani, au kuwatangazia hata majeshini, vyuoni pengine wangejaribu kuwakuza vifaranga hao wa nyama na mayai.
Nimalizie kwa kusema kitendo kile ni cha kishetani na hakina budi kulaaniwa na serikali ichukue hatua stahiki na hili lisijirudie.
View attachment 2445992
Options nzur zilikuepo. Kwan wangeamua kuvigawa bure kwa wateja, wakaichukulia kama MARKET strategies, niamin hivo vingine vingepata pa kwenda.hapo pana utata inawezekana hata wao hawajapenda ila mazingira yalikuwa ni limited kwao! Maana ilikuwa inatakiwa kuvilisha na kuvitibu kila siku, so kuliko kubiacha vife na njaa wameona bora vichomwe tu
Wamesema sokoni walipanga wauze 1000 ikashindika wakashusha 900 hola wakaona solution ni kuchoma. Nngekua mimi nd mkurugenzi ningeshusha mpka 500 au ata zaid ya hapo kama ingeshindikan ningegawa bure unless vinamagonjwa hatarishi na yasiotibikaSidhani kama hali iko hivyo inawezekana walikuwa hawana njia kabisa! All in all Ukiwa unatetea mambo kama haya huku unamla samaki, kuku, Ng'ombe au kiumbe chochote kile ni yale yale
kweli hapo kuna hoja ya msingiWamesema sokoni walipanga wauze 1000 ikashindika wakashusha 900 hola wakaona solution ni kuchoma. Nngekua mimi nd mkurugenzi ningeshusha mpka 500 au ata zaid ya hapo kama ingeshindikan ningegawa bure unless vinamagonjwa hatarishi na yasiotibika
Vifaranga haviwezi kujileo vyenyewe viwe vifaranga vya kiswahili au vya kizungu ni sawa na mtoto mchanga hawezi kujilea mwenyewe ukishasikia kifaranga ni sawa na mtoto mchanga, vifaranga vinahitaji malezi makubwa we chunguza vifaranga vya kiswahili vikiwa na mama yao wanavyo pewa malezi usiku au wakati wabaridi mama yao uwapatia joto kwa kuwakumbatia na wakati wa chakula mama uwatafutia chakula tena hii ni kwa ndege wote, sasa itakuwa kwa vifaranga vya kizungu visivyo kuwa na Mama mtu tu wakawaida havichukue akavifuge kienyeji hata siku mbili havifiki bora ata kuku wa kiswahili wanaweza kutoboa, Kuku wa kisasa kwanza wanakula masaa 24hrs na wanatakiwa wawekewe taa na majiko ya kuwaletea joto usiku na maisha yao yote ni kuwanywesha madawa bila madawa hawa wezi kuishi na bandani kwao lazima ukiingia ujisafishe na maji ya dawa na utenge viatu vya kuingia navyo bandani mwao.
Kabisa kiongozi au kuvigawa napo wangepata hasaraHivi wangegawa bure si vyote hivyo vingefugwa?!
Mkuu hao unaongelea wewe sio kuku wa nyama pure, hao unaongelea wewe itakuwa ni machotara au kuku wa Mayai ambayo watu wengi sana wamefanya kuyazalisha na kuku wa kienyeji na wala haina shidaNilishachukua kuku wa kisasa wa wiki 3 nikawabadili mazingira nikawachia nje na wakienyeji walikuwa vijogoo.
Walipata shida ila baada ya kama mwezi wakaadopt maisha ya nje. baada ya miezi 8 walianza kuwika na kupanda mitetea na kuzalisha kama kawaida,
Ilifika mahali nilikuwa na kuku wa kienyeji zaidi ya 100 weupe pyee kutokana na mbegu za hao wajogoo waliokuwa wa kisasa .
kuku wa kisasa wanaweka kuadopt maisha ya kuku wa kienyeji vijogoo vikapanda na mitetea wakataga kabisa
Hii inchi kwasasa ina watu wa ajabu sana kwenye nyadhifa za uongozi. Hadi mtu unashindwa elewa kuwa wanatumia akili au makalio kuwaza!Kwa hiyo mfanya biashara anaweza kuona ni heri avichime kuliko kushusha bei akauza japo 500tsh akapata nusu bei? Hivyo vifaranga vina corona.
Walete sababu nyingine ila hizo ngonjela wadangaye wajinga
Walivileta hadi Dar wakarudi navyo Kilimanjaro, kwann wasingeviacha Dar waviuze hata kwa mkopo tu.Hiko kiwanda wamefanya hivyo kupunguza hasara. Unazalisha umuuzie mfugaji let say una stock ya vifaranga 4000 unasubiri vitoke hakuna wanunuzi utafanyaje
Gawa mitaani, watachukuliwa!Hiko kiwanda wamefanya hivyo kupunguza hasara. Unazalisha umuuzie mfugaji let say una stock ya vifaranga 4000 unasubiri vitoke hakuna wanunuzi utafanyaje