Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

Ipo mifano hai ya HC au CAT ku challenge maamuzi ya Rais na inachangiwa na nafasi yao na sijawahi ona CMA, suala la individual performance ya majaj wasiokubali kuzongwa na ukada pia ni nafuu kwa majaji kuliko arbitrator and meditator

Lkn all in all bado sioni nafasi ya mediator and arbitrator Ku challenge uamuzi wa Rais hata kama ni uamuzi wa masula ya kinidhamu and not administratively
 
Kuna kesi itasikilizwa katika kikao kijacho cha CAT Kigoma, ni kesi ya TANZANIA POSTS CORPORATION Vs JEREMIAH MWANDI , Civil Appeal No. 474 of 2020 hatua za awali ipo hapa Tanzania Posts Corporation vs Jeremiah Mwandi (Civil Appeal No.474 of 2020) [2021] TZCA 311; (16 July 2021) | Tanzania Legal Information Institute nafikiri itatoa tafsiri sahihi juu ya tafsiri na matumizi ya kifungu cha 32A cha Sheria ya Watumishi wa Umma na pia itatoa maelekezo ya nini cha kufanya baada ya kuexhaust local remedies; kwamba urudi CMA au kwenda High Court.
 
Itakuwa vizuri tukipata huo mwongozi, bravo
 
Mkuu kinachotakiwa ni kufumua hii tume imekuwa na tabia ya kushirikiana na waajiri kukandamiza haki za wakata rufaa
Ukienda CMA unaona mwajiri anakomaa uende tume. Yaani ukalalamike TUME hata kama jambo sio la Rufaa, nini siri ya waajiri kung'ang'ania TUME? Ni ushirikiano kabambe uliopo kati yao
 
Mkuu umesimamishwa kazi nini?
Maisha ya TAFU..SIRI

NGUMI JAMAA ALIPIGWA TU BILA KUPUCH UKIPUNCH MGONJWA ----- Newsroom KUPELEKA HABARI BILA KUWA PRINTED ILI GAZETI LITOKE KWENYE JAMII.... AU WATANGAZE KWENYE RADIO
 
Ukienda CMA unaona mwajiri anakomaa uende tume. Yaani ukalalamike TUME hata kama jambo sio la Rufaa, nini siri ya waajiri kung'ang'ania TUME? Ni ushirikiano kabambe uliopo kati yao
Tume ni chaka la waajiri na wale MaHR uchwara wa serikalini
 
ndo kinachowapa jeuri? na hili ndo tatzo la watumish wengi, wanabase kwny kukariri kanuni lakini wisdom ni ya chini kbs.
Kazi za serikali zinafanywa kwa Sheria, Kanuni, Moingozo, Nyaraka na Maelekezo sio WISDOM

Hakuna mtu anapenda mwingine apate shida ila imagine Taasisi zote za Umma kuhudumiwa na Taasisi moja
 
Kazi za serikali zinafanywa kwa Sheria, Kanuni, Moingozo, Nyaraka na Maelekezo sio WISDOM

Hakuna mtu anapenda mwingine apate shida ila imagine Taasisi zote za Umma kuhudumiwa na Taasisi moja
Flexibility. Mama alizungumza pia hili. Kanunii kanuni, hzo ni mwongozo, unawezakuwa flexible bila kutoka nje ya kanuni.
 
Kazi za serikali zinafanywa kwa Sheria, Kanuni, Moingozo, Nyaraka na Maelekezo sio WISDOM

Hakuna mtu anapenda mwingine apate shida ila imagine Taasisi zote za Umma kuhudumiwa na Taasisi moja
Wewe kutwa unashinda kwenye viwebsite ucharwa kutafuta vihabari vya Russia halafu unakuja hapa unasema pale tume mpo wachache wakati hufanyi kazi kushughulikia hizo rufaa za wafanyakazi walioumizwa na mamlaka za nidhamu
 
Karibu Moscow mkuu acha makasiriko.
Nlipita pale miaka hiyoo saivi nipo kwingine kabisa
😅😅
 
Kirama akikutana na hao wala rushwa wa tume lazima afanane nao
Kuna mtu alikuwa anaitwa Richard Odongo, huyu jamaa alikuwa ni mwanasheria wa Tume. Alikuwa anachukua rushwa kwa waajiri. Sijui kama bado yupo
 
Jambo hili lipo na mtoa mada kasema sahihi kabisa, haki imekuwa inatolewa kwa kufamiana na kama haufamiani na mtu yoyote ayefanya kazi tume ya utumishi kiukweli yawezekana ukafanyiwa uonevu usio wakawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…