Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna jamaa yangu alifukuzwa kazi kwa hila na mwajiri akamwambia hata akikata rufaa tume ni kazi bure kwasababu tume na waajiri ni kitu kimoja kwahiyo anajisumbua bure tuuNdugu Mathew iangalie sana kwa makini team iliyokuwa imemzunguka Muhoji, wasije wakakupeleka chaka, hawafai walikuwa wanafanya kazi kwa mazoea bila kufuata Sheria, Taratibu na Kanuni!
Nakumbuka kuna Senior Officer wa Tume alijitetea humu JF kwamba sometimes wanashindwa kufuata Kanuni za Utumishi wa Umma kwasababu manpower ni ndogo!!😆😆😆
Mkuu aliyekuwepo mwanzo kastaafu na wala sio kamsikiliza mleta hojaMheshimiwa Rais wetu ni msikivu amekusikia na leo amemteua Bwana Kirama kuwa Katibu Mtendaji mpya wa Time ya Utumishi wa Umma. Mama anaongeza kwa kalamu na hapigi kelele kama Debe tupu
Mkuu aliyekuwepo mwanzo kastaafu na wala sio kamsikiliza mleta hoja
Basi angemteua wa ndani kuliko kutoa Kirama Utumishi. Kiuhalisia malalamiko ni mengi. Ila Kirama ni jembe na pale atasafisha.Mkuu aliyekuwepo mwanzo kastaafu na wala sio kamsikiliza mleta hoja
Huyo John Mbisso ilitakiwa afukuzwe kazi bila kufuata taratibu ili akate rufaa na kujionea wanayofanyiwa wengine.Kwa nini hajampa huyo John Mbisso aliyekuwa akikaimu? Aliona watu walivyomlalamikia hapa mana yeye ndie mkuu wa kitengo cha rufaa kinachopigiwa kilele.
Jaji pia anataka pesa aka rushwa, akipewa maburungutu ya fweza hawezi kukataa atapindisha ukweli ili yy na familia yake waneemeke nao ni binadamu,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] vilaza??
We pimbi umefukuzwa kwa cheti feki ni "msomi"
Pambana na hali yako halafu Jaji wa mahakama ya rufaa ameamua kesi ngapi?? Ashindwe kashauri kako ka cheti au wizi au utoro?[emoji23][emoji23][emoji23]
Weka USHAHIDI hapaNyie mnashirikiana na waajiri na ushaidi upo
Mahakama kuu haukati rufaa, unaomba marejeo ya uamuzi kama ulizingatia haki, sheria, kanuni na taratibu, aka judicial review.Sio kweli ukishindwa TUME unakata RUFAA kwa RAIS ukiona umeonewa unakata rufaa MAHAKAMA KUU.
wote wakuonee kwa lipi hasa ulilonalo?
Kama hufahamu UTARATIBU uliza na so kulalama
Ndio unapambania haki yakoMahakama kuu haukati rufaa, unaomba marejeo ya uamuzi kama ulizingatia haki, sheria, kanuni na taratibu, aka judicial review.
Huku napo sio kwa kitoto unakutana na mawakili wakuda wa serikali kwanza utawekewa mapingamizi hata yasiyo na msingi (p.o) mpaka upate kibali utakuwa umesota si chini ya miaka miwili mpaka 3.
Baada ya hapo ndio kesi ya msingi isikilizwe uombe napo umkute jaji asiye mccm anaeongozwa na hofu ya mungu hapo utashinda vinginevyo ni ngumu kupindua uamuzi wa Rais,
Labda mahakama ya rufaa ndio unaweza kutoboa kwa kuwa wale hawana uoga sn juu ya uamuzi ambao ulitolewa na Rais kama nao ulikuwa ni wa uonevu
Ofisi ya Rais wana endorse tu hukumu ya Tume hakuna jipyaAsante kwa compliment.
Pole kwa majibu mabaya ila si ulipewa nafasi ya kukata rufaa kwa Mh. Rais ulifanya hivyo ukashinda kama Tume ilikuonea?
Hayo ni maandishi tu lkn utekelezaji ni kitu kingine hata polisi wamewekewa pgo lkn hawazifuatiHuo ndio ukweli.
nakuangalia unadai "OOOH ETI SIJAAJIRIWA!!"
Unalalama nini kama hujaajiriwa??
Sema ukweli kwa aliajiriwa ila kwa UPUUZI wako
watu wakala kichwa next time omba ushauri
Kama shauri lako nimechukua muda jua hakuna hujuma zozote dhidi yako
na kwa taarifa yako HAKUNA mtu anaweza kuingilia shauri la mtumishi hata awe katibu mkuu.
Huwezi kuishawishi Tume kutoa uamuzi kwa manufaa yako.
Soma Sheria ya Tume ya Utimshi wa Umma Kifungu cha 19
nimekuwekea hapa chini.
Mamlaka yako ya Nidhamu HAIWEZI KUSHIRIANA NA Tume kukuhujumu
View attachment 1894396
Hiyo kesi ni ya mwaka gani? na je inahusu kufukuzwa kazi?Jamani enhe someni case ya John Mongella HC Labour Division meruhusu kwenda CMA tena ukitaka nenda CMA moja kwa moja achana na hao Tume. Ni ndani ya siku 30 baada ya kufukuzwa
Wapo wanaoshinda ila wachache kama 2%Ofisi ya Rais wana endorse tu hukumu ya Tume hakuna jipya
Inawezekana na afteral huyo Rais unayemtaja sidhani kama anaomuda wa kupitia rufaa za watumishi isipokuwa watumishi ambao wapo chini yake wanaoshughulikia rufaa za watumishi, ambao in one way or another wana connection na watumishi wa Tume ,Mwajiri akuonee
Tume ikuonee
Rais akuonee
we umekuwa nani???
waziri mwenyewe anatoa kauli tu maafisa utumishi wanazipuuza hata kupandishwa madaraka imekuwa kizungumkuti.malimbikizo ya watumishi mpaka leo hakuna kitu.hii nchi imestuck somewhere labda tusubiri sokoine mwingine.Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kuhusu utendaji mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma ikiongozwa na ndugu Muhoji aliyezungukwa na wasaidizi vilaza wavivu kutumia akili katika kushughulikia rufaa za watumishi wa umma walioonewa na waajiri enzi zile!
Kumekuwa na biasness kubwa sana katika kushughulikia rufaa za watumishi wa umma pale Tume.
1. Tume imekuwa ikishirikiana na waajiri katika kuhujumu haki za watumishi.
2. Rufaa zimekuwa zinakaa kwa muda mrefu bila kuzitolea maamuzi. Ningefurahi sana kujua kama kuna kipengele chochote kinachoibana Tume kuhusu muda.
3. Maafisa wa Tume hawako makini katika uchambuzi wa rufaa za watumishi.
4. Maafisa wa Tume wamekosa customer service or care kwenye kazi zao na hivyo kupelekea wwtumishi wanaokwenda kuulizia rufaa kuwafanya kama maadui, they are so defensive and protective.
5. Wamekuwa wakipewa rushwa na waajiri ili watumishi wakandamizwe ktk kudai haki zao kwasababu waajiri wengi wamekuwa wakiwabambikkiza makosa watumishi wao.
Hivyo basi, tunaomba Mh. Rais Samia tupia jicho lako kwenye hiyo Tume, wanafanya kazi kwa mazoea na kuminya haki za watumishi.
CMA is a wrong place to go after President decision, the right place is HC, amigoUkishamalizana na Tume na Raisi unaenda CMA sio HC usipotoshe watu Hujui sheria wewe hapo Tume unafanyaje kazi kwa ufahamu huo?
"Rais" ni title kweli ila ana kitengo kinachofanya kazi za RUFAA wanapitia kwa niaba yake ye anapelekewa end results anatia saini.Inawezekana na afteral huyo Rais unayemtaja sidhani kama anaomuda wa kupitia rufaa za watumishi isipokuwa watumishi ambao wapo chini yake wanaoshughulikia rufaa za watumishi, ambao in one way or another wana connection na watumishi wa Tume ,
Kwa hiyo shauri lako kupita dry ktk mikono hiyo ni mkubwa