sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Ni muongo, maana wale wengi hawakupewa barua za kufukuzwa kazi, waliondolewa tu kienyeji, hivyo hakuna rufaa maana hakuna barua ya rufaa ambayo ni nyaraka ya lazima kwenye kukata rufaa. Wale walikuwa wanatakiwa kufungua kesi CMA kwa uvunjwaji wa mkataba na constructive termination lakini sio Rufaa CMA. Sema tume ya utumishi wa umma ndio ikabaka kazi zisizo zake kisheria na ndio story kama jamaa anavyoeleza hapo.Huyu Msemaji wao humu anasema rufaa nyingi ziliongezeka baada ya wale wenye vyeti feki kutimuliwa kwahiyo nina imani kwa sasa hivi idadi ya wanaokata rufaa itakuwa imepungua sana