Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

Kuna ushahidi kuwa baadhi ya Waajiri ambao wamelalamikiwa na wafanyakazi waliowafukuza wanatoa RUSHWA kwa wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa Umma, ili waendelee kuwakandamiza wafanyakazi.
Mgoja nikuelekeze kitu,

Mchambuzi wa rufaa yako hawezi kupindisha ukweli kwasababu vielelezo vyako na vya mamlaka ya nidham (Mwajiri) vipo na akichambua baadae kikao cha Idara kinapitia then Menejimenti inapitia then Tume kwa maana ya Makamishna 6 na Mwenyekiti ambaye ni Jaji mtaafu wa Mahakama kuu ya rufaa wanapitia na kutoa uamuzi


Sasa niambie Ofisa anawezaje kupindisha Haki????

Nipe huo USHAHIDI wako
 
Ukute umefukuzwa kwa chati feki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sasa akili unaitoa wapi
 
Kwa hio huyu wa Sasa nae akaona ampe uwaziri wa watumishi mkwe wake ili ngoma iwe drop?
 
First in Firs out miaka minne , na rushwa wanaomba , ooh mimi flani shauri lako nitalisogeza kwa wakubwa fanya fanya utaratibu SHAME ON THEM vilaza
Acha uongo nimefanya kazi pale kwa miaka 5 kesi nyingi mostly zina miaka2 hasa baada ya kesi za VYETI na mabadiliko ya sheria ya mwaka 2019 kutoa rufaa za.CMA kuja TUU

Workload imekua kubwa sana
 
Pumbavu mkubwa wee! Work load maana yake nini! Watu wakose haki yao kwa kisingizio cha work load!

Shenzi wewe!
We ni boonge la kilaza ukishinda tufaa yako unakula mishahara yako toka umefukuzwa kazi.kwanza ukute hata ajira huna
 
Naomba Kanuni inayotoa muda wa rufaa kutolewa uamuzi
 
Haki ya mtu haipotei ukishinda kesi unalipwa na Kanuni zooote zinazingatiwa.
 
Acha kutetea ujinga, Makamishna na Jaji mstaafu ni kitu gani bhana??

Mbali ya Tume kushirikiana na waajiri kukandamiza haki za Watumishi, hapo Tume wamejaa vilaza watupu, hawawezi kuzifanyie critical analysis rufaa za Watumishi pia wako corrupted!!

Maafisa wa Tume wanajenga hoja na kuandaa ripoti za kinafiki na kuzipeleka kwa maboss wao zilizojaa ukandamizaji bada ya kupokea RUSHWA!

Najua uko hapo Tume pole sana lakini huo ndio ukweli!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] vilaza??

We pimbi umefukuzwa kwa cheti feki ni "msomi"

Pambana na hali yako halafu Jaji wa mahakama ya rufaa ameamua kesi ngapi?? Ashindwe kashauri kako ka cheti au wizi au utoro?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We mtu ni mpuuzi sana SIAJABU WAKAKUFUKUZA KAZI

UJINGA WAKO unajidhihirisha hapa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] vilaza??

We pimbi umefukuzwa kwa cheti feki ni "msomi"

Pambana na hali yako halafu Jaji wa mahakama ya rufaa ameamua kesi ngapi?? Ashindwe kashauri kako ka cheti au wizi au utoro?[emoji23][emoji23][emoji23]
usimshambulie mdau kwa kutoa maoni yake , hata wewe unayefanya kazi huko tume ni masikini tu wala huawsaidii watumishi wenzio, kufanya kazi tume ya hovyo sio ndio una akili kuzidi wengine hoja hapa ni Tume haifanyi kazi yake inavyotakiwa full stop
 
usimshambulie mdau kwa kutoa maoni yake , hata wewe unayefanya kazi huko tume ni masikini tu wala huawsaidii watumishi wenzio, kufanya kazi tume ya hovyo sio ndio una akili kuzidi wengine hoja hapa ni Tume haifanyi kazi yake inavyotakiwa full stop
Unapolalamika uje na facts sio unalalama bila ushahidi

Niambie anapolalamikia Kanuni hazifuatwi ataje ni Kanuni gani?

Pia Tume sio mwisho wa mtumishi kupata Haki yake, akishindwa anaambiwa akate rufaa kwa Mh. Rais

Huko pia akishindwa anakata rufaa Mahakama kuu idara ya Kazi.

Sasa analalamika nini? Kama ana HAKI ataipata
 
Ulichoandika wewe ndiyo kinapaswa ku happen lakini haiwi hivyo. Makamishna husoma makabrasha yaliyotayatishwa na maafisa wa Tume na kumbuka wale siyo wabobezi wa fani za Sheria za kazi. Mwenyekiti anaweza kuwa Jaji Msataafu lakini siyo lazima kuwa ni ni bingwa wa Sheria za kazi.

Wachambuzi wa Tume wakiwa corrupted tu na waajiri, hakuna namna makamishna wataamua vinginevyo
 
Taasisi
Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Elimu na Wizara yenyewe zinaongoza kutuo rushwa kudhulumu haki za wafanyakazi. Ushahidi ni kesi zilizo kwenye hatua mbalimbali. Mh Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan hiyo Tume imeoza inakuhujumu kwa rushwa. Mtandao wao wa rushwa ni mpana mno hadi Wizarani. Macho ya serikali yataona huo uozo ukiamua kufuatilia.
 
Mh Rais anauwezo kabisa wa kuondoa uozo huo kwenye Taasisi husika na wizarani.
 
Majibu yanayotolewa na Tume kwa rufaa ya Mtumishi ukiangalia ni kama wameandaliwa na Mwajiri husika wao ni kusaini na kupiga mhuri tu. Kugundua hujuma hii iko wazi sana sema tu wamejipanga kiasi kwamba bahasha zinatembea kwa wahusika wote.
 
Huko juu nimetoa ufafanuzi wa PROCESS ya rufaa kuchambuliwa.

Labda nirudie

Ofisa atachambua rufaa kwa kujibu HOJA zako vs majibu ya mamlaka ya nidhamu vs sheria, kanuni, nyaraka, taratibu, miongozo, nk

Akimaliza uchambuzi wake unapitiwa na kikao cha IDARA wanasoma kila HOJA ilivyochambuliwa, watarekebisha kama kuna MAKOSA.

Baadae huo uchambuzi utapitiwa na kikao cha MENEJIMENTI ya TUME ambayo ina wabobezi za sheria za kazi watarekebisha kama kuna makosa.

Mwishoni ndio inaenda TUME.

NADHANI UMEELEWA ILIVYO NGUMU OFISA KULA RUSHWA AU WEWE KUONEWA

CHECK AND BALANCE ni kubwa mno

So huwezi kuonewa wala kupendelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…