Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
ni skendo tuKwangu mimi sijawahi kuona hivyo vitu vikiwa kazini nikathibitisha utendaji wake.
[emoji15][emoji15][emoji15]Kusoma hadi form four tu unahoji kila kitu
Jiwe la nyoka linatibu na uking'atwa na nyoka ukiliweka sehemu ya jeraha halitoki mpaka sumu iisheni skendo tu
Hahaha!!Kusoma hadi form four tu unahoji kila kitu
Hilo jiwe lipo mkuu. Ni kwelini skendo tu
Nimewahi kutumia hili jiwe baada ya kungatwa na nyoka kijiji flani hivi na lilifanya kaziJiwe la nyoka linatibu na uking'atwa na nyoka ukiliweka sehemu ya jeraha halitoki mpaka sumu iishe
Hii baba yangu mdogo anayo,ni mganga...Kuna mganga humtumia kukamata nyoka mitaani,yeye anazungusha duara la dawa,anakaa Kati,anapinga filimbi,nyoka wanakuja mbio lakini hawaingii ndani ya duara,anawakamata anatia kwenye kiroba...tabora hiyoIko ya ukiwa nayo mwilini nyoka wanakukimbiaa🤣🤣
Wapi ametaja Elimu yake? Hivi vyuo vya kata mnavyookota vyeti vinawafanya mjione Wasomi kwa marks za kugawiwa?Kusoma hadi form four tu unahoji kila kitu
HabariNimekuwa nikijiuliza sayansi iliyoko katika lile jiwe ambalo watu hutumia mara waumwapo na Nyoka. Unaliweka sehemu husika na linanyonya sumu mpaka linapodondoka. Ni sayansi gani hapo inayofanya kazi? Wenye uzoefu please.
Lakini pia ile bangili ambayo husemekana inampumbaza nyoka. Inafanyaje kazi? Tunaomba kupeana darasa katika mambo haya please.
Povu juu ya povuWapi ametaja Elimu yake? Hivi vyuo vya kata mnavyookota vyeti vinawafanya mjione Wasomi kwa marks za kugawiwa?
Paka mafuta ya kondoo nyoka watatoka wenyewe tu.Kuna mmoja aliniambia eti ili uweze kufukuza nyoka mazingira ya nyumbani kwako basi unachoma mti fulani ambao nyoka akisikia halufu basi anakimbia. Swali je miti kama hiyo na halufu yake haiwezi kuvuta wadudu wengine???