Utendaji wa bangili ya Kupumbaza nyoka na Jiwe la nyoka

Utendaji wa bangili ya Kupumbaza nyoka na Jiwe la nyoka

Wapi ametaja Elimu yake? Hivi vyuo vya kata mnavyookota vyeti vinawafanya mjione Wasomi kwa marks za kugawiwa?
Upo sahihi. Vyuo vya kata vimeharibu sana vijana wa miaka hii. Ambacho wamejifunza chuoni unakuta ni ushoga tu. Hamna kingine...
 
Jiwe la nyoka linatibu na uking'atwa na nyoka ukiliweka sehemu ya jeraha halitoki mpaka sumu iishe

Ni story Tu hakuna jiwe linatibu sumu ya nyoka

Ukweli ni kwamba % ya nyoka wa tanzania sio wa sumu

Uking'atwa na nyoka wa sumu ukaweka Hilo jiwe utakufa tu
 
Mimi ambacho sikielewi kuhusu hilo jiwe la nyoka ni pale linapowekwa kisha linaganda hapo hadi baada ya muda ndipo linadondoka lenyewe
 
Pia kuna Nyoka wengi wasiokuwa na venom lakini huwa wanang'ata ili kujilinda

Hapo ndipo Mganga na jiwe lake anapopigia.
Ungesafiri na treni ile miaka ya 80,pale Dom wakiuza Sana haya mawe,usukumani huko Kuna miti unaweka tu kipande pale ulipong'atwa na nyoka au nge,kinanasia pale,kinafyonza na unasikia kabisa kinavuta
 
Ni story Tu hakuna jiwe linatibu sumu ya nyoka

Ukweli ni kwamba % ya nyoka wa tanzania sio wa sumu

Uking'atwa na nyoka wa sumu ukaweka Hilo jiwe utakufa tu
Unabishabisha tu hata hujawahi kuliona,mlionyea mapoti mna shida Sana,hamjui chochote kuhusu mlikotoka,mnatukuza uzungu...tuliishi kabla ya wazungu kuja,tukizaana,tukiugua na kutibiana kwa elimu yetu
 
Ungesafiri na treni ile miaka ya 80,pale Dom wakiuza Sana haya mawe,usukumani huko Kuna miti unaweka tu kipande pale ulipong'atwa na nyoka au nge,kinanasia pale,kinafyonza na unasikia kabisa kinavuta
Sasa kinaweza kuwa kinavuta maji maji,Venom ikishakuwa injected kwenye mshipa hiyo inasambazwa mwilini na kuanza kazi.
 
ChKwangu mimi sijawahi kuona hivyo vitu vikiwa kazini nikathibitisha utendaji wake.
Ni kweli kipind fulani nilikuwa naishi Tanga mjini ,Kuna dogo wangu aling'atwa na nyoka akafungwa tambara kwanza then Kuna mzee akapigiwa simu anakaa sahare huko ni kama mganga vile na kanzu yake akaja na kijiwe cheusi akamuweka kweny jeraha wala hakushikiza na kitu kijiwe kikaganda kama nusu saa 30 kikadondoka akasema sumu ishaisha ila kesho yake...
Dogo aliamka anatapika sana na homa kali akapewa dawa za hospital haijapita hata wiki mguu ulikaa sawa kabisa
 
Hili ni onyo kutoka WHO.

The World Health Organization is very clear in stating that it has no effect on snake-bites, bearing in mind that most snake-bites are from non-venomous snakes. They state that traditional medicines and other treatments such as wound incision or excision, suction, or application of “black stones” should be avoided.
 
Back
Top Bottom