Utendaji wa bangili ya Kupumbaza nyoka na Jiwe la nyoka

Utendaji wa bangili ya Kupumbaza nyoka na Jiwe la nyoka

Nakumbuka wakati tunasoma compound of metals form three pale Nyabulogoya secondary Mwalimu kasase alishawahi kugusia hii kitu sema nimesahau tu😂
 
Achana na wazungu elimu zote hizi zipo kwenye vitabu vyetu vya dini, pia hata hao wazungu wanaotengeneza dawa hutumia malighafi hizi hizi,ila kila sehemu wana dawa za asili kulingana na sehemu waliyokuwepo
 
Hili ni onyo kutoka WHO.

The World Health Organization is very clear in stating that it has no effect on snake-bites, bearing in mind that most snake-bites are from non-venomous snakes. They state that traditional medicines and other treatments such as wound incision or excision, suction, or application of “black stones” should be avoided.
Sawasawa
 
Unabishabisha tu hata hujawahi kuliona,mlionyea mapoti mna shida Sana,hamjui chochote kuhusu mlikotoka,mnatukuza uzungu...tuliishi kabla ya wazungu kuja,tukizaana,tukiugua na kutibiana kwa elimu yetu

Sawa kabisa

Mke wako akitoka kuzaa kile kidonda weka mchanga Tu kitapona faster

Hata ww ukiumia, pakaa mchanga Tu fresh, hata nyama Kula Mbichi kabisa
 
Bila ya utafiti tutaendelea kutapeliana tu.
Sijui umri wako,sijui umekulia wapi..Ila Mimi kwetu tabora nimeona tiba nyingi za kushangaza...ikiwemo ile dawa ya kuunga mfupa uliovunjika kwa tabibu kuchezesha viganja vya mikono pembezoni mwa mguu/mkono uliovunjika,Kuna ngariba umakondeni huko alikua hashiki kisu kukata govi,anaweka mhogo kwenye ungo,anakwambia chukua,menya nchani kwa kuvua,ukimaliza na govi lako halipo,anakupaka dawa ndo ushatahiriwa
 
Sasa kinaweza kuwa kinavuta maji maji,Venom ikishakuwa injected kwenye mshipa hiyo inasambazwa mwilini na kuanza kazi.
Hapana,inavuta sumu,na ikijaa inadondoka,unalitia kwenye maziwa,baada ya muda ukiliweka Tena linashika,japo muhimbili walisema kwa baadhi ya sumu jiwe litaongeza tatizo
 
Next time usisahau kutukunjia kwenye mfumo wa Video, mimi huwa najiuliza sana inakuwaje tiba zetu nyingi za Kiafrika huwa ni za siri siri sana.
Hilo ndiyo tatizo Sana,wazee wanaficha maarifa Kisha wanakufa nayo...hospitali za tabora ukiumwa bawasiri Kuna waganga wa kienyeji wanakuitia,utapaka dawa utapona,bawasiri mzungu anakupasua
 
Kwasababu baba ako alikosa ada isiwe sababu ya kuwachukia waliofika chuo
Ulienda mtembelea nani chuo? You dont sound like an educated person. You sound more like a dumb young girl in her teen age trying to mature and eventually proving her stupidness. Wewe chuo ulienda mtembelea nani?speak the truth girl.
 
Ulienda mtembelea nani chuo? You sound like an educated person. You sound more like a dumb young girl in her teen age trying to mature and eventually proving her stupidness. Wewe chuo ulienda mtembelea nani?speak the truth girl.
Mi nakubali sijasoma, ila mi sio kama wewe... siwachukii waliofika chuo..... Kwahyo kwa hicho kimombo ndo unantishia nawewe umesoma?
 
Back
Top Bottom