Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana.
Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji kazi bora wa Rais Magufuli unaojali matokeo yenye tija kwa wakati aisee tungekuwa na boooooongeee la Rais.
Ila kwa bahati mbaya;
Mungu hakupi vyote ndio maana anaweza akakupa urefu ila huna pesa na akili aliyepewa ufupi akapewa pesa na akili.
Magufuli angekuwa super man kama angekuwa na hulka za Kikwete.
Mungu ibariki Tanzania.