Utendaji wa Rais Magufuli angevishwa Kikwete angekuwa Rais mzuri mno kuwahi kutokea Afrika

Wacha ujinga wewe! Uchumi wa kati hakuna ajira na mishahara kwa wafanyakazi mwaka wa tano hakuna nyongeza? Akili za wapi hizi!? 😳 FYI the report above is not from Chadema. Just make sure you pay extra attention on any post on this forum.

Yaani nchi ipo uchumi wa kati ,we unasema maendeleo yamerudi nyuma 25%!!! Mna akili kweli nyie ufipa!
 
Wacha ujinga wewe! Uchumi wa kati hakuna ajira na mishahara kwa wafanyakazi mwaka wa tano hakuna nyongeza? Akili za wapi hizi!? [emoji15] FYI the report above is not from Chadema. Just make sure you pay extra attention on any post on this forum.
Hilo suala usibishane na mimi kawaulize World bank !, kwa sababu wao wana vigezo vyao , uchumi wa kati hawajausema CCM.! Mkae mkijua Hilo,
 
Tia akili kichwani wewe GARBAGE IN GARBAGE OUT unataka kuziamini namba FAKE za BoT!?

Hilo swala usibishane na mimi kawaulize World bank !, kwa sababu wao wana vigezo vyao , uchumi wa kati hawajausema CCM.! Mkae mkijua Hilo,
 
Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana.

Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.

Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji kazi bora wa Rais Magufuli unaojali matokeo yenye tija kwa wakati aisee tungekuwa na boooooongeee la Rais.

Ila kwa bahati mbaya;

Mungu hakupi vyote ndio maana anaweza akakupa urefu ila huna pesa na akili aliyepewa ufupi akapewa pesa na akili.

Magufuli angekuwa super man kama angekuwa na hulka za Kikwete.

Mungu ibariki Tanzania.
Huwezi kuwa unacheka Cheka halafu kazi ziende! Ukitaka mambo yaende lazima uwe nasura ya mbuzi! Babu zako wasingechalazwa viboko unafikili reli ingejengwa? Acha kulialia piga kazi
 
😂😂😂😂😂😂 angalia jinsi unavyoonyesha ulivyo MPUUZI wa hali ya juu? Hizo namba WB wanazipata wapi? Wanaziokota barabarani? 😳😳😳

Walisema Tanzania imefika uchumi wa kati sio Bot ndugu ni Benkiya Dunia (WB)
 
Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana.

Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.

Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji kazi bora wa Rais Magufuli unaojali matokeo yenye tija kwa wakati aisee tungekuwa na boooooongeee la Rais.

Ila kwa bahati mbaya;

Mungu hakupi vyote ndio maana anaweza akakupa urefu ila huna pesa na akili aliyepewa ufupi akapewa pesa na akili.

Magufuli angekuwa super man kama angekuwa na hulka za Kikwete.

Mungu ibariki Tanzania.
Tutolee ungese wako hapa
 
Taja hayo makubwa ambayo Magufuli ameyafanya kwa muda mfupi!.Ni propaganda tu!

Kikwete katika miaka yake minne ya mwanzo ya utawala wake alikuwa ameshajenga UDOM imekamilika na Shule za kata nchi nzima.

Magufuli amekamilisha kitu gani cha maana ndani ya miaka yake hii mitano?
Kuhamia dodoma..BRT,makusanyo ya kod yaliyopitiliza,ukomboz sekta ya madin,..kufufuliwa kwa biashara ya usafir wa anga nchi.flyover zaa kutosha..kama 4 hiv...wahujumu uchum wa kutosha wako behind bars,elimu bure..mahakama ya madisad,madaraja kibao yamefunguliwa,stieglers ndo kama hyo..la muhimu zaid karudishaa heshima kazin..nchi kupanda kufika uchum wa kat etc etc

Hiv we ku.mer huon haya yote
 
Daaaa umetia aibu kweli kweli ,nilkuwa nakuheshim kweli kumbe wewe mtu wa ovyoooo sana ,yaaani matusi kwako ni chakula haujastarabika kabisaa na kuwa kwenye watu wenye ufaham na exposure ndani ya JF
 
Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana.

Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.

Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji kazi bora wa Rais Magufuli unaojali matokeo yenye tija kwa wakati aisee tungekuwa na boooooongeee la Rais.

Ila kwa bahati mbaya;

Mungu hakupi vyote ndio maana anaweza akakupa urefu ila huna pesa na akili aliyepewa ufupi akapewa pesa na akili.

Magufuli angekuwa super man kama angekuwa na hulka za Kikwete.

Mungu ibariki Tanzania.
Hayo mambo makubwa aliyofanya Magufuli ni yapi ?
 
Kuhamia dodoma..BRT,makusanyo ya kod yaliyopitiliza,ukomboz sekta ya madin,..kufufuliwa kwa biashara ya usafir wa anga nchi.flyover zaa kutosha..kama 4 hiv...wahujumu uchum wa kutosha wako behind bars,elimu bure..mahakama ya madisad,madaraja kibao yamefunguliwa,stieglers ndo kama hyo..la muhimu zaid karudishaa heshima kazin..nchi kupanda kufika uchum wa kat etc etc

Hiv we ku.mer huon haya yote

BRT (Mwendokasi) DSM aliujenga Kikwete.

Kuhsmia Dodoma hakuna faida yoyote ni kupoteza fedha tu

Makusanyo? - JK alikuza makusanyo ya Kodi kwa mwezi mara tano ya makusanyo aliyoyaacha Mkapa, Yaani kutola bilioni 160 kwa mwezi mwaka 2005 hadi bilioni 850 kwa mwezi mwaka 2015 (Five Times)

Mahakama ya mafisad? - Kuna fisadi gani papa lililofikishwa huko na hukumu ilikuwaje?

Elimu bure ipi, wakati mikoani huko pindi mtoto akianza kidato cha kwanza anaambiwa aende na dawati lake?

Kurufisha heshima kazini - Heshima kwa nani na umepimaje kuwa heshima imerudi?

Stieglers - Subiri ikamilike tuone matunda yake, kuanza ujenzi wengi huanza tu lakini matunda ya kazi ndo jambo la maana!

Magufuli achievements zake hazijai kwenye kiganja cha mkono
 
Magufuli is an Iron Man,tough and rough harembi kitu .Ni watu wachache wanaweza kuwa na roho ngumu kama ya Mjomba Maguful.
Bahati mbaya Magufuli hafanani Jakaya Kikwetu katika utendaji wa kazi za Jamhuri.
 
Daaaa umetia aibu kweli kweli ,nilkuwa nakuheshim kweli kumbe wewe mtu wa ovyoooo sana ,yaaani matusi kwako ni chakula haujastarabika kabisaa na kuwa kwenye watu wenye ufaham na exposure ndani ya JF
Who cares.
 
Rais Kikwete was the best president ever. He was leading the Country to development, angeachiwa muda zaidi nchi hii ingefika kwenye level ambayo isingeweza tena kurudi kwenye umaskini. Kosa kubwa ni kutokulinda njia hiyo kwa kuwa na katiba nzuri. Rais wa sasa ni mtendaji mzuri yes ila long term plan for the Country I am sorry is not very clear anataka kulipeleka Taifa hili wapi. Au anataka nchi inayofuata uchumi wa namna gani. Private sector imedidimizwa na kuonwa haina tena mchango kwa serikali ni wezi na mafisadi. The actual architect wa njia hii alikuwa Rais Mkapa Kikwete alitumia vizuri plans za Rais aliyemtangulia hakuua mifumo aliyoijenga Mkapa.
 
Magufuli atamaliza muda wake akiwa na rekodi nzuri na madoa mengi pia.
 
Back
Top Bottom