Amemchanganya Tundu Lissu amechanganyikiwa mpaka ameugua MagufuliphobiaTaja hayo makubwa ambayo Magufuli ameyafanya kwa muda mfupi!.Ni propaganda tu!
Kikwete katika miaka yake minne ya mwanzo ya utawala wake alikuwa ameshajenga UDOM imekamilika na Shule za kata nchi nzima.
Magufuli amekamilisha kitu gani cha maana ndani ya miaka yake hii mitano?
Leo kwikwete kawa mzuri kwenu ! Akili za Wana ufipa bana !Taja hayo makubwa ambayo Magufuli ameyafanya kwa muda mfupi!.Ni propaganda tu!
Kikwete katika miaka yake minne ya mwanzo ya utawala wake alikuwa ameshajenga UDOM imekamilika na Shule za kata nchi nzima.
Magufuli amekamilisha kitu gani cha maana ndani ya miaka yake hii mitano?
Yafuatayo no kati ya aliyoya fanya wewe mwana ufipa !Taja hayo makubwa ambayo Magufuli ameyafanya kwa muda mfupi!.Ni propaganda tu!
Kikwete katika miaka yake minne ya mwanzo ya utawala wake alikuwa ameshajenga UDOM imekamilika na Shule za kata nchi nzima.
Magufuli amekamilisha kitu gani cha maana ndani ya miaka yake hii mitano?
Unaamanisha nini Jpm anafanya manunuzi? Unajua maan ya kujenga uchumi??Kafanya hayo yote kwa kuwa Mh Kikwete kajenga uchumi..yeye anafanya manunuzi tu..
Kaongeza makusanyo ya kodiTaja hayo makubwa ambayo Magufuli ameyafanya kwa muda mfupi!.Ni propaganda tu!
Kikwete katika miaka yake minne ya mwanzo ya utawala wake alikuwa ameshajenga UDOM imekamilika na Shule za kata nchi nzima.
Magufuli amekamilisha kitu gani cha maana ndani ya miaka yake hii mitano?
Tanzania imekuwa ya kwanza afrika kuhusu usambazaji wa umemeTaja hayo makubwa ambayo Magufuli ameyafanya kwa muda mfupi!.Ni propaganda tu!
Kikwete katika miaka yake minne ya mwanzo ya utawala wake alikuwa ameshajenga UDOM imekamilika na Shule za kata nchi nzima.
Magufuli amekamilisha kitu gani cha maana ndani ya miaka yake hii mitano?
3.ameleta elimu bure ..watoto wa maskini sasa wanaoma shule
Yafuatayo no kati ya aliyoya fanya wewe mwana ufipa !
1.Ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme unayoendea katika nchi yetu..mradi utawezesha nchi yetu iweze hata kuuza umeme Afrika nzima
2.kuondoa tatizo la wafanyakzi hewa waliokuwa wanaingizia nchi hasara ya mabilioni ya fedha.
.Umeondoa giza Tanzania...nikimaanisha mgao wa umeme umekuwa historia.
3.ameleta elimu bure ..watoto wa maskini sasa wanaoma shule
4.smeondoa mikatamibovu katika sector ya madini,umezuia makinikia na kujenga ukuta mererani...leo Tanzania ndio nchi ya kwanza Duniani kwa kuuza Tanzanite Duniani..kabla haujaingia madarakani Tanzania ilikuwa nchi ya saba.
4 .Amenunua ndege karibu nane sasa zinazofanya safari ndani na nje ya nchi
5.Anajenga reli kutoka Dar mpaka Dodoma
Ni hayo tu bado mengine mengi.. msijitie upofu wana ufipa! Maendeleo ni process!
Zamani sio sasa ndugu Ccm iliahidi elimu bure! Na limetekelezwa , mbona ninyi mliahidi elimu bure hadi chuo kikuu 2015 au mmesahahu , na hamkujua kama nyerere alifanya? Acheni kutapatapaUmezaliwa lini? Mbona Nyerere alifanya hili zamani sana? Muulize Magufuli aliposoma shule za serikali kama alikuwa analipa karo.
Mnyonge mumpe haki yake huku mnamnyonga..Taja hayo makubwa ambayo Magufuli ameyafanya kwa muda mfupi!.Ni propaganda tu!
Kikwete katika miaka yake minne ya mwanzo ya utawala wake alikuwa ameshajenga UDOM imekamilika na Shule za kata nchi nzima.
Magufuli amekamilisha kitu gani cha maana ndani ya miaka yake hii mitano?
Yaani nchi ipo uchumi wa kati ,we unasema maendeleo yamerudi nyuma 25%!!! Mna akili kweli nyie ufipa!
Zamani sio sasa ndugu Ccm iliahidi elimu bure! Na limetekelezwa , mbona ninyi mliahidi elimu bure hadi chuo kikuu 2015 au mmesahahu , na hamkujua kama nyerere alifanya? Acheni kutapatapa
Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana.
Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji kazi bora wa Rais Magufuli unaojali matokeo yenye tija kwa wakati aisee tungekuwa na boooooongeee la Rais.
Ila kwa bahati mbaya;
Mungu hakupi vyote ndio maana anaweza akakupa urefu ila huna pesa na akili aliyepewa ufupi akapewa pesa na akili.
Magufuli angekuwa super man kama angekuwa na hulka za Kikwete.
Mungu ibariki Tanzania.
Ok sawa naongea na mtu mmoja! Niambie mbona upinzani waliahidi elimu bure mpaka chuo kikuu 2015 ! Hawakujua kama Nyerere alifanya??Usitumie lugha ya "nyie" wakati unaongea na mtu mmoja (Omusolopagasi). Vinginevyo unafanya niache kabisa kukutilia maani kwa vile hiyo ni tabia ya kishabiki kama kushabikia timu ya mpira.
Akili za wapinzani wa Tz bhana..leo tena unamgeukia kikwete? Na wakati mlikuwa mnamponda kutwa kucha..nyie kushika hii nchi mtasubiri sana..siku mkiwa na akili mtaishikaTaja hayo makubwa ambayo Magufuli ameyafanya kwa muda mfupi!.Ni propaganda tu!
Kikwete katika miaka yake minne ya mwanzo ya utawala wake alikuwa ameshajenga UDOM imekamilika na Shule za kata nchi nzima.
Magufuli amekamilisha kitu gani cha maana ndani ya miaka yake hii mitano?
Ok sawa naongea na mtu mmoja! Niambie mbona upinzani waliahidi elimu bure mpaka chuo kikuu 2015 ! Hawakujua kama Nyerere alifanya??