Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Mafuta lita 1 ni sawa na mls 1,000
Maji amesema ni mls 350
Kwa hiyo si kweli kwamba maji ni mengi kuliko mafuta kwenye fomula yake.
 
Ipi hatari, fomalin au salfonic acid? Ni mambo ya kawaida - kikubwa ni ni kujua ration na kutumia vyema.
Fomalin ni hatari haifai kuwekwa kwenye sabuni, hiyo inawekwa kwenye dawa ya toilet
 
Vip hakuna mafuta mengine zaidi ya mawese?.maana mawese hayapatikani kwa urahisi
 
Taro ni mafuta animal original yanauzwa tsh 1500/kg, jaribu kuuliza ,mimi mwenyewe natengeneza sabuni hapa nilipo tunapata ktk maduka ya mawakala wasambazaji wa mali gafi hizo
Nasikia ni lazima uwe na ubao wa kutolea hizo sabuni ni kweli?
 
Kamwene!Wakuu mimi natengeneza sabuni za maji na shampoo.Naomba kujua namna ya kupata mashine.Pia nisaidieni namna ya kufanya ili sabuni iwe nzito sana.
 
Habari wana jf..naomba wenye uelewa juu ya utengenezaji wa sabuni za miche wanisaidie kwa kunitajia process ya kwanza hadi ya mwisho maana nataka kutengeneza.Ahsanten
 
hon khan.....Elijah amekuuliza uko wapi?...
Jibu la swali hilo ni muhimu sana kwenye hiyo kazi hasa kama unataka kufanya kwa lengo la biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…