Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Nick,
Asante sana kwa elimu hii.
Hizi ndizo nyuzi za kuleta katika jukwaa na kuzizungumzia sababu ni za maendeleo.
Nitakutafuta Niko kigamboni.
Narudia tena...asante sana wewe ni mwana jamii bora.
 
Nick,
Asante sana kwa elimu hii.
Hizi ndizo nyuzi za kuleta katika jukwaa na kuzizungumzia sababu ni za maendeleo.
Nitakutafuta Niko kigamboni.
Narudia tena...asante sana wewe ni mwana jamii bora.
sawa mkuu nashukuru na ww tembelea blog yangu utajifunza sabuni nyingi nicksontz.blogspot.com

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
Katika siku niliofurahi ni leo kwa kuona hizi news.hongera sana mleta uzi."suali langu ingawa tayari limeulizwa.wapi tunaweza kupata mazoezi kwa vitendo?msaada tafadhali
 
mazoezi kwa vitendo utaweza kuyapata kigamboni mbele ya kinisa la Lutheran ukitokea stand ya kigamboni au nichek whtssp kwa no 0753606603
 
Tunashukuru kwa somo,, mkuu chumvi kiasi gan?
 
Tunashukuru kwa somo,, mkuu chumvi kiasi gan?
Na hyo soda ashh unaweka vijiko vitatu! Na maji kivip yaan soda ash iwe kiasi gan na maji yawe kiasi gan je mwisho unapta lita ngapi??? Asante ya utangulizi
 
pakt moja
Dah kaka yangu bado naisoma mara mbili mbili napitea hapo unaposema soda ash n pakti moja halafu utie vijiko vitatu vya chakula vya chai then maji ......mhh naomba ufafanuz hapo
 
Na hyo soda ashh unaweka vijiko vitatu! Na maji kivip yaan soda ash iwe kiasi gan na maji yawe kiasi gan je mwisho unapta lita ngapi??? Asante ya utangulizi
sulphonic acid lita/kilo1
sless 1/2 lita /kilo
chumvi mawe 1/2 kilo
sodq ash 1/2 kijiko
Maki lita 17 -18
 
mkuu hivi kibao kile cha kukatia wanauza wapi?
 
habari za leo wakuu nafundisha jinsi ya KUTENGENEZA sabuni ya mche , sabuni za maji , sabuni ya unga ,mafuta ya kujipaka , na nk masomo haya yote nafundisha kwa njia ya EMAIL AU WHATSAPP KWA MCHANGO WA SH 5000 TU nitakufundisha kutengeneza vitu vyote pia nitakuunganisha na wauzaji wa malighafi za kutengeneza hizo bidhaa karibuni , ,,,,,kwa atakaye hitaji nichek whatsp kwa no 0753606603
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…