Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Nashukuru sana, je mahitaji yote yanapatikana wapi?
 
Halafu msaada, nikishatengeneza sabuni na kuweka kwenye chupa za lita moja moja, je ninachapisha wapi label zangu? Kwa kuwa huwezi kuuza kitu bila kuwa na label (nembo) ya biashara, nifanyeje?
 
Halafu msaada, nikishatengeneza sabuni na kuweka kwenye chupa za lita moja moja, je ninachapisha wapi label zangu? Kwa kuwa huwezi kuuza kitu bila kuwa na label (nembo) ya biashara, nifanyeje?
Nine design labels. Ni pm
 
Asamte sana kwa mafunzo mazuri.Binafsi natamani kujua jinsi ya kutengeneza sabuni za magadi at mawingu.
Je, utanisaidiaje katika hili. Vitabu vinavyohusu hilo mnavyo?
 
Habari wadau,
Naomba mwenye ujuzi wa biashara ya kutengeneza sabuni za miche anisaidie,natamani kufanya biashara hii naomba mwenye kuifahamu anisaidie mwangaza kidogo.Mahali yanapopatikana malighafi ,bei za malighafi izo,upatikanaji wa vifaa vya kutengenezea,changamoto na faida zake.
Asanteni
 
Mkuu biashara2000, Huu uzi bado upo? Mafunzo bado yapo au yalisitishwa??
 
Mkuu Biashara 2000 vp kuhusu huo mkaa wa kisasa mafunzo yake yana patikana?
 
Weka mchanganuo tujue faida unapata vipi..tununue kitabu
 
SABUNI YA UNGA

MALIGHAFI

i. Sodash kg 3
ii. Sodium metasaket kg 1
iii. CPP kg 1
iv. Salphonik asid lita 1
V. Optical brighter gm 50
vi. Nausa gm 50
vii. Stivson vijiko viwili vya chakula
viii.p Pfyum kijiko kimoja au viwili vya chai
IX. Besen la plastic

JINSI YA KUTENGENEZA
1. Andaa malighafi zote na vipimo vilivyotajwa hapo juu namba moja hadi nane
2. Andaa beseni lako la plastic
3. Andaa mwiko
4. Anza kuchanganya kwa kuweka kimoja baada ya kingine na kuchanganya vizuri
5. Changanya kwa kutumia mwiko wa kujengea
6. Changanya kwa dakika tano hadi ishirini mpaka ichanganyike vizuri
7. Baada ya kuchanganya anika katika kivuli
8. Baada ya kukauka pima na anza kuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…