Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamwene!Wakuu mimi natengeneza sabuni za maji na shampoo.Naomba kujua namna ya kupata mashine.Pia nisaidieni namna ya kufanya ili sabuni iwe nzito sana.
Oook hiyo Alka inapotakanaje¿Niko Moshi mjiniAisee ni rahisi sana utakapo changanya mchanganyiko wako usisahau kuweka kitu kinaitwa ALKA hiyo ndo inafanya sabuni yako kuwa nzito na kama unataka sabuni ikae kwa muda mrefu bila kuharibika weka FOLMALIN pia.
Mara nyingi tembelea maduka yenye malighafi za ujasiria mali mfano kwa huku sisi Dar es salaam zinapatikana kwa urahisi kozi maduka ni mengi tena kwa bei poa tu nadhani kama 5000/= tu mm mara ya mwisho niliitumia kutengeza sabuni nilipokuwa chuoni pale DIT
Kinachofanya sabuni iwe nzito ni chumviKamwene!Wakuu mimi natengeneza sabuni za maji na shampoo.Naomba kujua namna ya kupata mashine.Pia nisaidieni namna ya kufanya ili sabuni iwe nzito sana.
Gharama nafuu ndo sh.ngapi?Waone Gemab Enterprises wanafundisha mambo ya sabuni ya maji ya choo ,shampoo,kufulia ,batiki,mishumaa,peanut butter,mafuta ya mgando,sabuni ya unga,chachandu nk.kwa whatsup no.0713262188 tena kwa gharama nafuu sana.
Umewapigia? Acha maswali yasiyo na maana ili hali contact zipoGharama nafuu ndo sh.ngapi?
aisee ni rahisi sana kwanza hahihitaj uwe na elimu kubwa pili ni kufatilia tu maelekezo kama ulivofundishwa tatu ngoja nikuanfalie vzuri lecturekisha ntakwambia wapi utazipata hizo notes vzuri usjalMimi nataka kujua jinsi ya kutengeneza shampoo ndugu
Ndo mazingira ya kuuza bei tofauti tofauti kulingana na mteja alivyo kuja. Katamka yoote kwenye bei kashindwa kutaja na kuweka "nafuu" acheni biashara za kimachinga hizo.....Umewapigia? Acha maswali yasiyo na maana ili hali contact zipo
Nimependa hilo somo, kwa Mimi niliye Kilimanjaro nawezaje kupata hayo mahitaji? Msaada kwa anayefahamu kunakopatikanaJIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI YA KUNAIWIA MIKONO View attachment 376324
Moja kati ya mahitaji makubwa ya watu ikiwemo wafanyabiashara za mama lishe,mabucha na nyingine,ni sabuni ya kunawia.Kutokana na mahitaji makubwa waliyonayo watu na kukosekana kwa bidhaa hiyo wahitaji hujikuta wakitumia sabuni ambazo hazikutengenezwa kwa kazi hiyo kama sabuni za unga,shampoo na sabuni za vipande ambazo huwasababishia madhara bila kujijua. Leo katika somo letu tutajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni za kunawia mikono.fuatana nami mwanza mpaka mwisho.
MAHITAJI; .
Sulphonic acid .soda ash .maji yaliyochujwa vizuri .pafyum .Rangi yoyote inayovutia .sless .Chumvi
JINSI YA KUTENGENEZA.
Andaa vizuri chombo chako kwaajili ya kutengenezea sabuni yako kama ndoo au pipa pamoja na kuandaa malighafi zako huku ukizingatia usafi. Tanguliza kumimina ssulphonic acid vijiko vitano vya chakula kwenye chombo chako. Endelea kuweka soda ash iliyochanganywa na maji vijiko vitatu vya chai. Weka maji lita tano ukifuatiwa na sless robo lita,chukua pafyum yoyote na uweke kijiko kimoja na nusu cha chai. Ongeza rangi kijiko kimoja cha chai na uanze kunyunyizia chumvi ambayo huleta uzito na kufanya sabuni yako isiharibike na kukaa muda mrefu. Koroga vyote kwa pamoja kwa muda wa dakika ishirini na sabuni yako itakuwa tayari.
Habari. Nimependa Sana somo lakoJe, ulifanikiwa kupata hiki kitu rafiki?
Kama bado na unahitaji wasiliana na mimi.
Kuna duka Moja Kariakoo linaitwa Taherry (Hapa sina kumbukumbu nzuri) lipo mtaa wa Gerezani nadhani malighafi hizo zote zipo pale.Nimepata hamasa ya kutafuta huu Uzi baada ya juzi mdau kuniomba nimsindikize mitaa hiyo kununua bidhaa hizohizo malighafi zinapatikana wapi hapa dsm?
Chumvi unaweka kiasi gani?Habari wanaJF..
Tutengeneze sabuni ya maji
MALIGHAFI
MASHINE YA KUTENGENEZEA IWE JABA AU KARAI
MAJI LITA KUMI
SULPHONIC ACID LITA MOJA
SLESS NUSU LITA
GLYCERINE VIJIKO VINNE VYA CHAKULA
SODA ASH VIJIKO VITANO VYA CHAKULA
FORMALINE VIJIKO VITATU VYA CHAKULA
MANUKATO KIJIKO KIMOJA CHA CHAI
RANGI YA SABUNI NUSU KIJIKO CHA CHAI
JINSI YA KUTENGENEZA
HAKIKISHA MASHINE YA KUTENGENEZEA NI SAFI
Weka Sulphonic acid na slees koroga vichanganyike weka soda ash koroga weka maji koroga vizuri hakikisha hakuna mabonge mabonge
Weka glycerine, formaline, perfume, rangi na chumvi kisha koroga kwa dakika 15.
Paki kauze....
ANGALIZO
SULPHONIC ACID IPO KAMA ASALI WEKA MBALI NA WATOTO MAANA NI KEMIKALI HATARI.
ASANTE
-QUEEN___
Kuifanya iwe bora kabisa kwa mahtaji binafsi na sio ya biashara unafanyaje kwa uoande wa ratio yani iwe kama ilivyo Harpic kwa mfano.Habari wanaJF..
Tutengeneze sabuni ya maji.
MALIGHAFI
MASHINE YA KUTENGENEZEA IWE JABA AU KARAI
MAJI LITA KUMI
SULPHONIC ACID LITA MOJA
SLESS NUSU LITA
GLYCERINE VIJIKO VINNE VYA CHAKULA
SODA ASH VIJIKO VITANO VYA CHAKULA
FORMALINE VIJIKO VITATU VYA CHAKULA
MANUKATO KIJIKO KIMOJA CHA CHAI
RANGI YA SABUNI NUSU KIJIKO CHA CHAI
JINSI YA KUTENGENEZA
HAKIKISHA MASHINE YA KUTENGENEZEA NI SAFI
Weka Sulphonic acid na slees koroga vichanganyike weka soda ash koroga weka maji koroga vizuri hakikisha hakuna mabonge mabonge
Weka glycerine, formaline, perfume, rangi na chumvi kisha koroga kwa dakika 15.
Paki kauze
ANGALIZO
SULPHONIC ACID IPO KAMA ASALI WEKA MBALI NA WATOTO MAANA NI KEMIKALI HATARI.
ASANTE
-QUEEN___