Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nine design labels. Ni pmHalafu msaada, nikishatengeneza sabuni na kuweka kwenye chupa za lita moja moja, je ninachapisha wapi label zangu? Kwa kuwa huwezi kuuza kitu bila kuwa na label (nembo) ya biashara, nifanyeje?
Asamte sana kwa mafunzo mazuri.Binafsi natamani kujua jinsi ya kutengeneza sabuni za magadi at mawingu.Sabuni ya maji ni Sabuni inayopendwa na watu wengi sana katika shughuli mbalimbali kama vile kufulia,kuoshea vyombo,magari ,kutumika katika shughuli za usafi na mambo mengine mbalimbali na Sabuni hii inaweza kumletea MTU faida Mara mbili hadi tatu kulingana na kuwa Sabuni hii mtaji wake mkubwa ni maji .
NOTE:Sabuni nyingi za maji zimekosa ubora kwa sababu ya watengenezaji wake kutozingatia hatua na vipimo maalumu Vya utengenezaji wa bidhaa hiyo hivyo basi na kufablnya Sabuni hiyo ikose ubora wake na kubakia kuwa kama maji yaani Sabuni isiyokuwa na uzito unaofaa
NINI KIFANYIKE ILI KUPATA SABUNI YENYE UBORA?
fuatana nami hatua kwa hatua jinsi ya utengenezaji wa bidhaa hii adhimu
MALIGHAFI ZINAZO HITAJIKA
1.Maji Lita nane
2.salphoniki asidi vijiko sita Vya chakula
3.sodash vijiko viwili Vya chai changanya na maji robo lita koroga
4.CMC vijiko viwili Vya chai changanya na maji robo Lita koroga
5.silesi nusu Lita
6.formalin kijiko kimoja cha chai
7.grycerlin vijiko 12 Vya chakula
8.rangi ya Sabuni ya maji robo kijiko cha chai
9.perfume kijiko kimoja cha chai au viwili
10 .chumvi maalumu au waweza tumia ya kawaida ukiikosa hiyo chumvi maalum kipimo ni robo Lita au zaidi weka polepole kwa kunyunyiza mpaka itakapokuwa nzito.mwisho koroga dakika nane mfululizo kuelekea upande mmoja tu
NOTE: Unapoweka kitu kimoja baada ya kingine zipishane dakika tatu tatu ,na koroga kwa kuelekea upande mmoja tu bila ya kugeuza au kusimama mpaka utakapomaliza .baada ya hapo Sabuni yako itakuwa tayari kwa matumizi
Kwa maswali mbalimbali na VITABU Vya utengenezaji bidhaa hizo wasiliana na 0743550599 kitakufikia ulipo kwa email au njia ya whatsap
NitafuteAsamte sana kwa mafunzo mazuri.Binafsi natamani kujua jinsi ya kutengeneza sabuni za magadi at mawingu.
Je, utanisaidiaje katika hili. Vitabu vinavyohusu hilo mnavyo?
Mkuu naitaji nondo hizo 0754026030nipiem email yako,tuwasiliene ili nikutumie full notes about that! Nondo zipo za kila aina ya sabuni.
NAOMBA UNIFUNDISHE KWA VITENDO KWANI MM MPAKA NIFANYE NDO NIELEWEUnaweza nipigia tukakutana nikakupa