Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

nafundisha kutengeneza sabuni za aina zote ikiwa sabuni za maji , sabuni za miche sabuni za unga , za kunawia mikono,mafuta ya kujipaka , keki za harusi,batiki na nk mafunzo haya nafundisha kwa njia ya whtssp kwa no 0753606603 kila kitu kimoja kujifunza ni sh 1000,,, elf moja tu,
 
safi sana kwa cc wa mbali, ila practical tutafanya wapi?
 
Habari. Anzisha kiwanda cha kutengeneza sabuni za Maji aina zote km shower gel, ya kunawia mikono na ya kufulia. Unahitaji mashine km hii pamoja na malighafi. Unahitaji kuwa na sh. Laki 7 kwa ajili ya kununulia mashine hiyo ya umeme yenye mota yenye spidi kubwa. Ukinunua mashine utapewa mafunzo ya vitendo ya kutengeneza sabuni ya Maji. Ukishatemgeneza utapack ktk vifungashio km hiki hapo chino na kuweka nembo yako. Kwa maelezo zaidi wasilianacnami 0758 308193

Mashine inazalisha Lita 100 kwa dk 5

2190459_img20150307wa0003_jpegf605ef0ff14b71c5723c9b3a7912d507
 
Uzalishaji
Lita 100 kwa dk 5 = Lita 1200 kwa SAA. Bei ya jumla utauza kwa sh 1000 hivyo itakuwa 1200 x 1000 = Tsh. 1,200,000 kwa SAA km ukiuza tote. Gharama ya kutengeneza Lita ni sh 500
 
Uzalishaji sio tatizo, tatizo ni soko la hiyo bidhaa.

Soko la sabuni ya Maji liko vizuri kwa wale wanaotumia vifungashio vya kisasa km hiki

cbe9caa5_c26139ae_0cfb_48b6_8f30_507235f9b146.jpg

Sasa unakuta wajasiriamali wetu wa natumia vile vidumu huwa tunaweka maziwa ambayo huwezi peleka hata supermarket wakuizie kwa kuwa having hadhi. Unapowrka sabuni yako ktk kifunngashio km hicho hapo juu, ukaweka barcode na jina na nembo hata supermarket wataokubali kukuuzia kwa kuwa bidhaa yako INA hadhi ya kimataifa
 
Habari. Anzisha kiwanda cha kutengeneza sabuni za Maji aina zote km shower gel, ya kunawia mikono na ya kufulia. Unahitaji mashine km hii pamoja na malighafi. Unahitaji kuwa na sh. Laki 7 kwa ajili ya kununulia mashine hiyo ya umeme yenye mota yenye spidi kubwa. Ukinunua mashine utapewa mafunzo ya vitendo ya kutengeneza sabuni ya Maji. Ukishatemgeneza utapack ktk vifungashio km hiki hapo chino na kuweka nembo yako. Kwa maelezo zaidi wasilianacnami 0758 308193

Mashine inazalisha Lita 100 kwa dk 5

2190459_img20150307wa0003_jpegf605ef0ff14b71c5723c9b3a7912d507
Naitaka hii biashara, nitakucheki
 
Hongera mkuu katika kusaidiana kupunguza umaskini.

Lakini kwa kiswahili mashine ni nini? Wengine wabara.
 
Back
Top Bottom