Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Kuna duka Moja Kariakoo linaitwa Taherry (Hapa sina kumbukumbu nzuri) lipo mtaa wa Gerezani nadhani malighafi hizo zote zipo pale.Nimepata hamasa ya kutafuta huu Uzi baada ya juzi mdau kuniomba nimsindikize mitaa hiyo kununua bidhaa hizo
Huyu mdada (queen) ana vitu vya maana ila upatikanaji wake online ni shida.
 
WanaJF.

Hizi zifuatazo ni baadhi ya nondo nilizonazo ktk utengenezaji wake in small scale.
¤sabuni za majivu za kuogea na kufulia.
¤sabuni ya mche.
¤sabuni ya unga
¤sabuni ya magadi.
¤sabuni ya k/mikono.
¤shampoo ya kawaida
¤shampoo ya virutubisho
¤window, carpet cleanes.
na zingine nyingi . Nondo 1 ni sh. elfu 1 tu. tuma pesa ktpia 0673114461 na email yako then nakutumia.
Sabuni za kuogea je?
 
WanaJF.

Hizi zifuatazo ni baadhi ya nondo nilizonazo ktk utengenezaji wake in small scale.
¤sabuni za majivu za kuogea na kufulia.
¤sabuni ya mche.
¤sabuni ya unga
¤sabuni ya magadi.
¤sabuni ya k/mikono.
¤shampoo ya kawaida
¤shampoo ya virutubisho
¤window, carpet cleanes.
na zingine nyingi . Nondo 1 ni sh. elfu 1 tu. tuma pesa ktpia 0673114461 na email yako then nakutumia.
Na sabun za kuondoa magonjwa ya ngozi
 
Je, inakuwa na ubora kama haya makampuni makubwa mana naona makampuni makubwa yanazidi kupeta sioni ushindani.
 
Mwaka huu ndio unakwenda kuisha na kuingia mwaka mpya. Ni wakati wa kujithathmini kwa mwaka huu umeweza fanya nini cha kimaendeleo cha kukuingizia kipato. Je umejifunza nini ulikosea ili ujipange upya na ufanye vitu kivingine?

Kwa ushauri tu ningemshauri yeyote anayesoma hapa kuwa tafuta elimu popote pale hata km sio kutoka kwangu jifunze lakini cha msingi zaidi ufanyie kazi hata kama ni japo kiduchu. Mwaka 2017 january labda ulisema mwaka huu ungefanya kitu fulani cha kujipatia kipato lakini imefika december sasa hujafanya chochote. K, umepanga mwaka ujao ufanye kitu basi fanya kweli ili isije tena ikafika next year december hujafanya chochote. Ni bora uanze leo ili angalau uwe na cha kuonyesha. Angalia tu usije ukawa ni mwaka wa stress kwa kukosa pesa ya matumizi

Pia kwa ushauri mwingine ni kuwa fanya shughuli au biashara kadhaa kwa wakati huo huo ili kuongeza nafasi ya kupata kipato kikubwa zaidi. Mfano ukipata haya ya sabuni huwa nawapa watu mafunzo bure ya namna ya kutengeneza bidhaa zingine ndogo ndogo bila kuwa na mtaji mkubwa mfano kutengeneza bidha km chaki, tomato na hili sosi, losheni, wine, ice cream, lamba lamba nk
Heri ya mwaka mpya
 
Unajua kwa uzoefu wangu ni kuwa kama mtu huwezi tu kufuatilia mafunzo unayoelekwa katika kitabu kutengeneza sabuni hata ukielekezwa kwa vitendo ni kazi bure tu utapoteza pesa yako kwani kila kitu ni saikolojia. Wengi wasioweza huwa visingizio ni vingi.

Mfano mtu anakwambia mimi nimekosa milioni 1 ya kuanzisha biashara, sasa unamuuliza je ushawahi hata tu kugeuza 20000 ikawa 50000 ? km huwezi tu kazi ndogo tu hiyo je ya kugeuza million kuwa zaidi utaweza kweli?

Ndio ile ukishashuhudia mtu anauliza km wengine wahafanikiwa, ujue hawa ndio wale ambao akion mpemba kafungua duka jirani naye ana copy na ku paste. Huu ni mwaka mpya km we unasubiri au unategemea approval kutoka kwa wengine uhue we sio mfanyabiashara.

Watu wote waliofanikiwa kibiashara nio waoga, ni watu wanaojariu vitu vipya na sio waoga kuchukua hatua. KM BIASHARA ALIVYOSEMA USIJE SHANGAA MWAKA HUU UNAINGIA UNABAKI NA STRESS ZA KUKOSA PESA KWA KUWA TU UMRFANYA UBAHILI WA 20000 TU. MI NASEMA HIVI KWA KUWA SIKUOGOPA KULIPIA NA KUJIFUNZA
 
Tunakusupport lakini fikiriakupunguza bei ya kitabu chako
 
Nashukuru sana kwa elimu yako. Imenisaidia sana kuanzisha biashara, Sasa natengeneza sabuni ya maji na kuuza katika shule ya sekondari. Asante sana. Mungu akubariki sana na akujaalie zaidi.Sisi wanawake ndio muda wetu wa kujitambua na kutoka kimaisha. Nawashauri wanawake wenzangu waanze fanya kitu na sio kukaa nyumbani kujiremba utegemee kuletewa na mume. Atakudharau. Utashangaa anakuwa na mchepuko
 
Habari zenu wanajukwaa.

Mwaka umeanza kwa kufanya tathmini ya mwaka ulioisha na kubaini kwamba "business is un usual ", mambo yamebadilika sana na kumekua na haja ya kuongeza kipato na kupunguza matumizi yasio ya lazima.

Ninaomba nifahamishwe(nitajiwe Sio kufundishwa-nitatafuta jinsi ya kuzisoma na kuzielewa) fursa za ujasiriamali wa kutengeneza products kadhaa km navyoisikia ya kutengeneza sabuni ya kusafishia vyoo.

Hivyo km unazifahamu naomba unitajie tuu fursa hizo sio kunielekeza then nitahangaika kusoma whether SIDO au VETA kulingana na fursa inayoendana na eneo ninaloishi.

Maisha yamekaza sana hivyo nategemea mwenye ufahamu hata kwa kuzisikia atanifahamisha kwa faida yangu na wengine, na Sio kuni dhihaki.

Tuepuke kuwa kaa, tuambukizane maujanja.
Muwe na siku njema.
Baraka za bwana ziwatangulie kabla.
 
Back
Top Bottom