Utenguzi: Rais Samia atengua nafasi za Viongozi wafuatao

Watu wanamdharau mama eti siyo mkali. Wanasahau kuwa alishaweka wazi kwamba makuzi na Imani yake havimuruhusu kumfokea mtu mzima, na kwamba yeye anatumia kalamu.

Huwezi kufanya Kazi za utawala majukwaani, huko ni kutafuta political popularity ambayo Rais wa nchi haiitaji kwa sababu tayari ni popular kwa nafasi yake.

Mama yuko kazini wanaobisha wataendelea kuumia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…